Anna pita, MUNGU anayeishi wa mbinguni akupe hakuzidishie haja ya ndani ya moyo wako uwe mke mwema kwa mumeo na mfano kwa wanawake wote. Kila lililo jema likatimie kwenye maisha yako yote ya ndoa yako, ukawe mtii na msikivu na muaminifu kwa mumeo siku zako zote za ndoa. MUNGU akawape watoto wazuri wa kike na wakiume wenye kumcha MUNGU.Kwanza kabisa nawapongeza Sana kwa kuamua kuzaa wala hamkushawishika kutoa au kutupa watoto choon
Nina ushaur kidogo kwa wewe single mama ambae unataka uje uolewe uwe na mume
Single mama tukijiweka vizuri tunanafasi kubwa Sana ya kuolewa siku hizi....wanaume wengi Sasa hv wamekua wavivu na waoga wa maisha hivyo single mama ukiwa mpambanaji tu watakufata Kama utitili
Chakufanya Kama unamtoto mmoja
Plz usidanganyike tena ukazaa mwingine kabla ya ndoa nooooo mmoja iwe ulimpata kwa bahati mbaya au ulipanga basi tu changamoto zikatokea basi tusirudie kosa
Chakufanya
1) punguza mawasiliano ya baba wa mtoto Kama yupo hai ...Kama unajiweza kiuchum Salam iwe maramoja baada hata ya miez , sio mtu mlisha achana asabuh anapiga cm mchana jion et anamsalimia mtoto angetaka uwo ukaribu angekuoa ili aishi karibu na mtoto wake yaan hili la muhimu Sana ...wanaume wengine hataki kuishi na ww lkn kwa vile unamtoto wake anataka akutumie anavyotaka anataka uwe chini yake kataa uo ujinga jazz band
2) jiweke vizuri my dear vaa vizuri pendeza, vaa kiheshima kua na tabia nzuri sio kila mwanaume unapita nae kisa sijui nn no!! Elewa Kuna wanaume wengine akiona unamtoto anakufikiria tofaut ivyo wanaona hapo pa kupita tu aiseee kua expensive mwanamke ...jithamin , jipende usipatikane kurahisi rahisi tu
3) kubwa kuliko tafuta pesa mama Yan kua na akili ya maisha pambana pangilia mambo yako ..wanaume wa siku hizi wengi hawana akil za maisha anaweza kua na Kaz nzuri kipato kikubwa lakin hajui afanye nn aanze na kipi
Kua positive mkikutana maongez yako asilimia kubwa iwe maisha tufanye hiki tununue hiki aiseee mama utajiongezea credit
Usiwe mzigo kwake uwe na kitu Cha ziada aiseee
4) ukiingia ndoan pambana mtoke kimaisha muheshim usimlazimishe ampende mtoto wako Kama kamzaa yeye
Hayo yote kwa wale wenye nia ya kuolewa tu
Mimi nilijipatia Eng wangu maisha yanasonga ninamtoto 1 alinikuta na biashara zangu napambana nina 33yrs hapa nipo kwenye mafundisho ya ndoa 14/9
vibint ofcin kwa jamaa haviamni Kama jamaa kaviacha pamoja nakujipendekeza japo mwanzo alikua na kaubahil fulan hv Sasa hv kanyooka nimemjulia Wala sihangaiki nae nacheza zangu michezo/ vibati vya maendeleo.
Vipi kuhusu ulaji wa kipolo changu kila ninapokihitaji ?Kwanza kabisa nawapongeza Sana kwa kuamua kuzaa wala hamkushawishika kutoa au kutupa watoto choon

Mwanamke ukishazaa naye ni kama kuna kitu kime waunganisha baina yenu wawili,Na hicho kitu ni ngumu kuja kuwatenganisha,labda iwe kifo tu,Nina Bro wangu kazaa na wanawake wawili na watoto kasha wachukua wako kwa mama pale,Ila Bro kila akiwahitaji mzgo anakula sana tu,Hata mwanamke apunguze mawasiliano na mzazi mwenzie lakin siku akiolewa na mwanaume mwingne ipo siku ata mkumbuka yule mwanaume wake wakwanza aliye zaa naye,Achilia mbali kuzaa,Hata mwanamke uliye mtoa Usichana wake akiolewa una asilimia 60 za kumtafuna endapo ukimhitaji.
Mzazi mwenzangu aliniletea Mambo ya kupiga usiku na mchana Mungu anisamehe nilimtukana nikamwambia naomba mtoto wako akikua atakutafuta elewa yupo salama na anaendela vzuri nikablock kila mahar nashukuru Mungu tangu nimefanya hivyo ninaamani kabisaMr engineer na ujanja wake wote kaamua kanunua kiwanja chenye mgogoro.
..
Vipi mzazi mwenzako unawasiliana naye ?
Mara ya mwisho amepasha kiporo lini ?sema ukweli wako.
Hata mimi natarajia kununua kiwanja chenye mgogoro na ujanja wangu wote
Najua hapa una nogesha uzi tu.Mzazi mwenzangu aliniletea Mambo ya kupiga usiku na mchana Mungu anisamehe nilimtukana nikamwambia naomba mtoto wako akikua atakutafuta elewa yupo salama na anaendela vzuri nikablock kila mahar nashukuru Mungu tangu nimefanya hivyo ninaamani kabisa
Kwamba haiwezekan au? Mwanamke mpumbavu tu ndio anaeweza kufanya huo upumbavu kwamba labda mwanaume alikutelekeza na mtoto akaoa mwanamke mwingine bado wewe umepata mwanaume kaona thaman yako kaweka ndani alafu nianze kumpa k yangu? Narudia tena nimwanamke mpumbavu pekee ndio anaeweza kufanya uo upumbavuNajua hapa una nogesha uzi tu.