dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
- Thread starter
- #101
Asnte kwa ushauriWell, hapo kwa sisi vijana tutaona faida alizo nazo ni nyingi japo on a serious note, hizo hasara ulizotaja ni kubwa mno kuliko faida. Km ni wa kumla tu km side chick sawa endelea nae, ila km ni kuoa, mteme kabisa,
Hamtokula ilo tako zuri wala, milio mizuri ya chumban haitoleta pesa. Usije ukawa mtumwa wa mapenz mzee. Fanya chaguzi sahihi apo.