Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

Kama unavyo fahamika hswa viumbe hujigandisha kwa mtu yoyote ilimradi wastiriwe ili waolewe

Sas mm kuna mmoja mmpare ameniganda balaa yaani hadi naona kero kwa jins anavyo niita mume, wangu, mume angu yaani kila kitu hata kuuliza kitu tu eti anasema mume wangu nikuambie kitu.

Ajabu ni hii amezalishwa na mume wa mtu na mbaya zaid anaishi na kijana ake basi kila akinipigia simu anasema mwanao amekumiss anataka kuongea na wewe hata wakuu sielewi nimuanzaje tu kuwa mm sina mpngao wa kumuona, yey anajuwa kbsa mm nakao ati akisha waeleza had shangaz zake kuwa kanipata hvyo nisubiriwa tu mm nikajiatambulishe kwao.

Wakuu nitumie njia ipi kumuambia tu kuwa siwez kumuoa, tena yey ni mmpare na mm na wapare na wa rangi wapi na wapi.

Jana anasema shanagzi ake ananiulizia lini nakuja kuwasalimia
Hili suala la singo maza TZ inaweza kuwa inaongoza
 
Kuna siku nilienda dukan, mwenye duka alikuwa sista flan wa makamo kidog, nikamwambia nahitaj mkate akanambia mikate imeisha.

Sasa ile nataka kuondoka akaniuliza "flan ni mama ako?" nikamwambia ndio, akanambia "naomba unioe".

Mi nilishangaa kwakwel coz mi na yeye hatujazoeana hata jina simfahamu ila kufupisha story nikwamba nilimweka kwenye friendzone ili nimfahamu vizur. Nikaja gundua baada ya kusimuliwa na mama ndo nikaambiwa kuwe huyo sista na bimkubwa ni marafik na yeye huyo sista aliachika ni single mother ana mtoto mmoja.

Nilivogungua hivo nikaanza kumkaushia mazima had sasa. Ila namuonea huruma sana.
Wewe hujamla wako
 
Faida za single mam wangu nai kama zifuatavyo

Kwanza ana tako zuri
Hana kitambi
Anajuwa kunyonya ndonga vzr sna
Anajuwa kuto bana na kutoa milion aina mbalimbal
Ni mzuri wa sura

Hasara zake ni mvivu

Hajui kutafuta pesa
Hana idea nzuri ya kupiga pesa au biashara

Yey naamin kuolewa na kushinda nyumbani tu na kufua na kudenki yuko vzr

Hana big a
Idea
i
 
Kuna haja ya kuvaa viatu vyao,
kila mtu anakosea, na wengi tunajifunza kupitia makosa.
kama umemuweka moyoni mjulishe, na kama sio mjulishe pia.
Asije poteza muda Zaidi, wakati angeweza pata mwingine Zaidi yako.!

Soma ile habari ya wanawake 400 kutembea na mtu mmoja.
Ni wake za watu wale na hakuna singele maza pale.
 
Nimetumia njia hyo bado kinganganizi najuwa alipenda nyumba yangu ameona na jenga karibu na kwao wakajuwa kbsa huyu huyu na mbaya zaid ni mvivu ila ana tarako kubwa
Maisha ni haya haya, kama anatuliza nafsi yako na wewe umerizika mfanye mchepuko ila usimfanye mke. Na umwambie una mke au mchumba yuko masomoni n.k ili asikugande sana.​
 
kila akinipigia simu anasema mwanao amekumiss anataka kuongea na wewe
757d7a74cc3d418d4b96b26a86bfab85.png
 
Awali ni awali, hakuna awali mbovu! Huo ni mtumbwi wa vibwengo! Kimbia mkuu.Jamaa muda wowote anapasha kiporo moto.
Umesahau kama na wako anaweza kua na yule wa wanawake 400[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom