Single ladies: Kwanini uko benchi mpaka leo?

Mwanaume anaweza kuoa hata kwenye 60s. Vice versa is 'not' true.
Kumbe tunaongelea uhalisia uliopo?? Sasa mbona wapo wanawake wengi tu wenye tabia mbovu na wanaolewa??

Halafu tusiongelee bongo tu tuvuke boda maana dunia haijashia bongo tu duniani hapa wapo wanawake wanaolewa wakiwa na miaka 40 hadi 60 unabisha
 
Hivi ndivyo ambavyo huwa mnapotezea maswali mliyoulizwa nimeshawazoea!!
You got me very wrong young girl, this is a talk abaut single ladies, bring one abaut single men and you will see how i will respond, nice weekend girl
 
Sasa hao wanaoanza na ninyi from zero to hero si ndiyo hao mkija pata hela mnawasaliti??
 
Tatizo hao wanaume wasiojielewa ndiyo wapo wengi kuliko wanaojielewa na wanaoangalia uzuri ni wengi kuliko wanaoangalia akili sasa sijui mnataka wanawake wote wakimbilie kwa hao wanaume wachache au sijui mnataka nini
 
My dear sister ukiona mume kile anakusifia ni sura tu, makalio na vitu kaa hizo, pls kimbia as far as your legs can carry you, maana kesho ataona wingine mrembo kukuliko, lakini kaa nimekuoa sababu ya your way of thinking, perception abaut life and such things, hata nione mrembo wa aina gani i will still stick by you, sababu nilikuoa sababu ya kile kiko ndani wako, "ALTITUDE" na sio urembo au nini, kweli wanaume aina yetu tuko wachache, lakini ukitafuta kwa bidii hukosi mmja wetu,na pia lazima na wewe uwe na akili poa, barikiwa sana
 
Eti enh??
 
Kumbe tunaongelea uhalisia uliopo?? Sasa mbona wapo wanawake wengi tu wenye tabia mbovu na wanaolewa??

Halafu tusiongelee bongo tu tuvuke boda maana dunia haijashia bongo tu duniani hapa wapo wanawake wanaolewa wakiwa na miaka 40 hadi 60 unabisha
Wenye tabia mbovu zaidi ndo hao ambao hawajaolewa mpaka sasa, na ndo wako wengi.
 
Unaishi dunia gani? Mbona sisi tunashuhudia ndoa nyingi wanawake wana tabia hizo hapo juu na wapo kwenye ndoa na pia wapo wanawake hawana tabia hizo na bado hawaolewi? Msikariri maisha! Maisha ya ndoa hayana kanuni moja na ukizingatia hakuna jinsia inayojua inachotaka kwenye ndoa!
Wenye tabia mbovu zaidi ndo hao ambao hawajaolewa mpaka sasa, na ndo wako wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…