Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Single father
Hahaa, ...
Single father
Kbskumekuchaa.
P ktk hoja yko nakuunga mkono %1 mama Ws kambo mmmmmh acha tu Mara mia akalelewa na mtu hata asiyey mjua ....pamoja si mama wakambo wote wanao wachukia watoto wasio wao ila asilimia 90% sisi wanawake hatuwapendi watoto wa waume zetu huo ndiyo ukwelBig up kwa single fathers wote!!!
Ila mtoto anakua vizuri akipata malezi ya mama (ata kama ni wa kambo) na baba!!! Oeni basiiiii!
Single father
Ni kweli ila sio mama wa kambo wote ni wakatili!!!P ktk hoja yko nakuunga mkono %1 mama Ws kambo mmmmmh acha tu Mara mia akalelewa na mtu hata asiyey mjua ....pamoja si mama wakambo wote wanao wachukia watoto wasio wao ila asilimia 90% sisi wanawake hatuwapendi watoto wa waume zetu huo ndiyo ukwel
Ubinafsi mbaya sana. Hivi watu hadi mshiriki kulea mkiwa mbalimbali, inamaana hapo lazima kuna mawasiliano mubashara!Ivi kama mnashiriki kulea lakini hampo wote hapo sio single parent