First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Sep 18, 2014 #2 hahahaaa creativity..
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Sep 19, 2014 #3 Umuhimu wa mama unapungua!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Sep 19, 2014 #4 Mwanaume kashinda
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Sep 19, 2014 #5 Kuna wakati kuwa na mwanamke sio muhimu sana katika familia
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,497 Reaction score 38,347 Sep 19, 2014 #6 Hapa mwanamke kadai kurudi kwao na mtoto wako nakuachia njemba ikasema sawa mama wewe sepa zako mimi nabaki na mwanangu. illuh said: View attachment 186023 Click to expand...
Hapa mwanamke kadai kurudi kwao na mtoto wako nakuachia njemba ikasema sawa mama wewe sepa zako mimi nabaki na mwanangu. illuh said: View attachment 186023 Click to expand...
illuh JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 1,254 Reaction score 701 Sep 19, 2014 Thread starter #7 weehh hapo unafikiri huyo mtoto atakubali kunyonya kitu kigumu hivyo..? Watoto wanajua ziwa la mama.. Bulldog said: Kuna wakati kuwa na mwanamke sio muhimu sana katika familia Click to expand...
weehh hapo unafikiri huyo mtoto atakubali kunyonya kitu kigumu hivyo..? Watoto wanajua ziwa la mama.. Bulldog said: Kuna wakati kuwa na mwanamke sio muhimu sana katika familia Click to expand...
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,042 Reaction score 22,593 Sep 19, 2014 #8
Aurora JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 7,308 Reaction score 5,276 Sep 19, 2014 #9 lolest........wala hawezi kunyonyo wana akili kama nini?kwanza mrija mgumu chuchu ya mama laini & pia anajua huyo sio anaemnyonyesha kila siku
lolest........wala hawezi kunyonyo wana akili kama nini?kwanza mrija mgumu chuchu ya mama laini & pia anajua huyo sio anaemnyonyesha kila siku
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,739 Reaction score 14,941 Sep 19, 2014 #10 Baba wa kileo/ wa dot com!!! Mama anakwenda gym huku baba anabadilisha nepi!
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 19, 2014 #11 Kazi anayo ukute mtoto hayataki hayo
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,724 Reaction score 11,336 Oct 31, 2014 #12 Bulesi said: Baba wa kileo/ wa dot com!!! Mama anakwenda gym huku baba anabadilisha nepi! Click to expand... Acha kunisema
Bulesi said: Baba wa kileo/ wa dot com!!! Mama anakwenda gym huku baba anabadilisha nepi! Click to expand... Acha kunisema
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,739 Reaction score 14,941 Nov 1, 2014 #13 kyumana said: Acha kunisema Click to expand... Mnaiga utamaduni wa kizungu ambao hamjui hata asili yake; matokeo yake ndoa zenu hazidumu na hao watoto wenu wanaishia kupata malezi mabaya ya single parent!!!
kyumana said: Acha kunisema Click to expand... Mnaiga utamaduni wa kizungu ambao hamjui hata asili yake; matokeo yake ndoa zenu hazidumu na hao watoto wenu wanaishia kupata malezi mabaya ya single parent!!!
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,101 Reaction score 127,850 Nov 1, 2014 #14 Wewee nyonyo ni nyonyo tu hakuna kama nyonyo aisee
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Nov 1, 2014 #15 Funny....
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Nov 3, 2014 #16 Bulldog said: Kuna wakati kuwa na mwanamke sio muhimu sana katika familia Click to expand... Nani kasema?
Bulldog said: Kuna wakati kuwa na mwanamke sio muhimu sana katika familia Click to expand... Nani kasema?