Singida wamemkataa Lissu? Mapokezi yashindwa kufanyika

Lissu siku ya jana alikuwa na safari ya kwenda Singida kwa ajili ya kufanya mkutano wa hadhara. Alitokea Dar Ila Cha kushangaza Morogoro yakatokea maigizo ya kusema amesimamishwa barabarani. Lakini mbele huko Dodoma na kuendelea wa kumsimamisha hakuwepo.

Wengi walisubiri kuona akifika Singida itakuwaje, lakini wananchi hawakujitokea Kumpokea Kama ilivyokuwa imepangwa. Sababu za wananchi kutojitokeza sijui, labda kakataliwa? Sijui

Muda si mrefu nitakuwa nimefika Ikungi-Singida, na nitaleta kitachojiri japokuwa CCM pia wana mkutano mkubwa wa kuadhimisha miaka 46 hapahapa Singida Magharibi. Tutaona nani ni nani

Hadi sasa hamasa ipo chini sana kwa wananchi juu ya Mkutano wa Lissu. Wengi wana hamasa na mkutano wa ccm chini ya mwenyekiti wa mkoa Mama Martha Mlata na nguo za kijani ni nyingi mno mamia kwa maelfu wanaelekea singida magharibi.

Muda utasema......
Umeleta mambo ya magharibi na masharki wee Ni mnyaturu hakika
 
Safari hii mpaka uzalishwe na Chadema maana unaiwaza sana
 
Hatulinganishwi na chama chakavu,kwani tumekuwa tukiwatoa kwa ko kila idara,ushawishi,kukubalika,uratibu,hamasa,weledi,ubunifu,utetezi wa haki na maslahi.[emoji848]Sasa hebu na mseme nyie mnaweza nini[emoji848]
Jibu swali kwa nini Lissu hakubaliki kwao?

Dodoma walikwishasema awali,hawataki upuuzi wake,na ndio maana alipitiliza kimya kimya!

Kanda ya ziwa bado hawantaki pia!

Kule Hai,Mbowe pia hawamtaki!

What's the Matter!
 
Labda jiwe ndiyo alikuwa hakubaliki kwa watanzania
 
Lissu siku ya jana alikuwa na safari ya kwenda Singida kwa ajili ya kufanya mkutano wa hadhara. Alitokea Dar Ila Cha kushangaza Morogoro yakatokea maigizo ya kusema amesimamishwa barabarani. Lakini mbele huko Dodoma na kuendelea wa kumsimamisha hakuwepo.

Wengi walisubiri kuona akifika Singida itakuwaje, lakini wananchi hawakujitokea Kumpokea Kama ilivyokuwa imepangwa. Sababu za wananchi kutojitokeza sijui, labda kakataliwa? Sijui

Muda si mrefu nitakuwa nimefika Ikungi-Singida, na nitaleta kitachojiri japokuwa CCM pia wana mkutano mkubwa wa kuadhimisha miaka 46 hapahapa Singida Magharibi. Tutaona nani ni nani

Hadi sasa hamasa ipo chini sana kwa wananchi juu ya Mkutano wa Lissu. Wengi wana hamasa na mkutano wa ccm chini ya mwenyekiti wa mkoa Mama Martha Mlata na nguo za kijani ni nyingi mno mamia kwa maelfu wanaelekea singida magharibi.

Muda utasema......
acha propaganda bwana mbona tunaziona clip zikionyesha nyomi ya lissu na hizo nguo za kijani si zinagawiwa bure tu na hamuoni kuwa ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi?wananchi wana matatizo kibao nyinyi mnatumia kodi zao hovyo bila sababu za msingi.hospiatali hazina hata standbay general na mmesika pale hospitali ya msoga wameshindwa kumhudumia mgonjwa mpaka kafa kisa hakuna umeme.nchi ya ajabu sana hii.
 
mleta hoja upuuzi uliandika unaenyesha the way ulivyo hovyo kujenga hoja!
Lisu alipanga kuwa na mkutano chumbani kwake Ikungi na ndivyo matangazo yalikuwa yakisema!
hakuna sehemu nyongine ilitajwa kuwepo na mkutano!
 
Back
Top Bottom