ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,085
- 61,451
Nawaangalia Halafu Nasema Hii BhaghoshaaTafuteni nauli muhamie Chato.
hamieni Chato
Chato kwanza endele kusoma nambaNdugu wanajukwaa wote mnajua kabisa katikati ya nchi yetu ni wilayani Manyoni mkoani Singida na tena Singida ni njiapanda ya majiji Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma hivyo ilipaswa itengenezwe kisasa lakini kiukweli hali sio nzuri sana kuanzia miundominu mpaka huduma Kama za afya. Mfano katika barabara ya kushusha sokoni pale wanapouza kuku mkabala na maduka ya Mo Dewji barabara libovu lipo mjini Katikati.
Kitu kingine ni jengo la makao ya CCM mkoa aibu tupu kwa viongozi Bila kusahau jengo la TRA halivutii halijawahi kupigwa rangi lipendeze huduma ya umeme nayo sio nzuri kwa maeneo ya Singida Kaskazini mpaka Mkalama maeneo mengi bado giza.
Nakuomba mheshimiwa Rais wajina wangu John Pombe ukimaliza Chato mkoa wa kuangalia uwe Singida tuzingatie sana kwenye barabara za mitaani maana naona viongozi wetu wa ngazi za mtaa wameshindwa.
La mwisho ni ajira kwa vijana. Sisi wanasingida ni wachapakazi na tuna uwezo mkubwa sana tutengenezee mazingira ya ajira tuache kuzurura mitaani.
Wanamkomoa mbeligiji, maendeleo Yana chamaNdugu wanajukwaa wote mnajua kabisa katikati ya nchi yetu ni wilayani Manyoni mkoani Singida na tena Singida ni njiapanda ya majiji Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma hivyo ilipaswa itengenezwe kisasa lakini kiukweli hali sio nzuri sana kuanzia miundominu mpaka huduma Kama za afya. Mfano katika barabara ya kushusha sokoni pale wanapouza kuku mkabala na maduka ya Mo Dewji barabara libovu lipo mjini Katikati.