Singida: Rais Magufuli azindua barabara ya KM 89 Itigi, asema anasafisha njia ya Rais ajaye

HIVI SASA RAIS ANAONGEA. ANASEMA MKOA WA SINGIDA ULIKUWA NA KILOMETA TATU TU ZA LAMI
tangu miaka 56 iliyopita wenzao Singapore wanapamban na wazungu tuliopata nao uhuru na wala hawana ardhi kama yetu tatizo la viongozi wa CCM nikutokuona mbali na kuwa wezi wa kufuja mali za umma na kukosa vision
 
NAIBU WAZIRI WA AFYA; HAKUNA DAWA ZA SERIKALI ZITAKAZOIBIWA TENA....MTUMISHI WA SERIKALI ATAKAYEIBA DAWA ATAANGUKIWA NA KITU CHENYE NCHA KALI KICHWANI
kwani kwanza zipo makabati yamebaki tupu maana serikali fedha zote zinajenga uwanja chato na nyumba ya mama yake mwenyekiti wao wa ccm
 
Leo kuna tukio bab kubwa ambapo Rais wa nchi mh dr. John Magufuli na wananchi akizindua ujenzi wa barabara inayotoka manyoni hadi itigi yenye urefu wa karibu kilometa 90. Rais magufuli ameonyesha utendaji ulio bora kabisa kwa kutatua kero za msingi za wananchi na anaendelea kufanya hivyo. fuatilia uzi huu kwa updates za tukio hili muhimu.
Magufuli nadhani apumzishwe maana ameshindwa kuanzisha miradi yake anarudia kufungua miradi ambayo alisha funguwa Kikwete shame on him kazi maneno maneno vitendo hakuna
 
Nguo zimepata mvaaji.



DFkOMXfWsAAFhID.jpg:large
...inaelekea hadi chupi kavaa kijani au manjano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwigulu hata wewe futa maandishi yako kwenye mawe na madaraja yaliyoandikwa"MWIGULU RAISI 2015"
Huo ni ukosefu mkubwa,
 
Barabara ya 57km, kujengwa kwa billion Tsh 104! waziri mbarawa,mkuu wa tanroad singida, hawakuliona hili mpaka JPM aje kuliona?
 
Tatizo ni nini ? Kuna factors nyingi zinazo sababisha bei kuwa kubwa, mfano hali ya barabara kama matope , madaraja, unyevu, milima , mabonde , vitu vinavyihitaji kusawazishwa na pengine kuweka makinga maji ya kudumu.
 
Itigi, Singida

Wote ambao wamepiga kelele kupinga hatua nilizochukua dhidi ya madini na makinikia muwaweke kiporo kwenye uchaguzi wa 2020. Muwaondoe.

Halafu mnasema ziara za Rais sio za kisiasa.
 
Dah......mbona hill liko wazi kwa kila mwenye akili

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Back
Top Bottom