Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

Hiyo halmashauri hawaoni kama imetelekezwa, ila jimbo la lissu waliona.
 
Huyu mkuregenzi yungali ofisin ajatumbuliwa hii uleta picha gani hali wengine tuhuma tu chali
 
Haijaisha kwani yeye ni mpinzani au fisadi ala kalale na ufanye kazi next time chagua mjomba au madarakani
 
Uteuzi wa wakurugenzi bado hauzingatii ubora wao. Kuna watu wa hovyo kabisa wanateuliwa na rais.
 
Back
Top Bottom