Singida: Mgana Msindai amlipua Dewji

Singida: Mgana Msindai amlipua Dewji

MADELU

New Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
2
Reaction score
2
Amesema hafanyi shughuli za Kimaendeleo kama Mbunge, yupo busy na shughuli zake za kibiashara. Hawasaidii hata CCM. Ukiangalia hata attachment tunajiuliza.

AcVHzGvZivuWAAAAAElFTkSuQmCC
Kuna sehemu nyingi watanzani tulifanya makosa katika Uchaguzi ila Singida Mjini kweli walibugi Step, wakachagua Kijana
mwenye magari na Kijana aliyewapa Wali, wakamwacha aliye na hoja hata kama hana gari na wali. Sasa Mikutano na hoja
mbalimbali za Kitaifa zinaendelea Kijana waliyemchagua yupo nje ya nchi na biashara zake, Hadi Mwenyekiti wa CCM,
Mgana Msindai amesema walikosea ‘too late’. Athari za Khanga na Wali. {huyu mbunge yupo wapi? Anajua kama katiba
inabadilishwa? Ametoa maoni wapi?
 

Attachments

shauri yao waache waonje cha moto maana siginda bado wako gizani sana
 
Huyu Msindai inaelekea analitaka hilo jimbo kwa hali na mali, maana kila siku anamshambulia mwenzie.
 
Back
Top Bottom