Singida: Ajali ya Bus la Takbiir

Haya mambo ya ajali kangi lugola alifanikiwa sana kuyazima, naona yanarudi humphrey humphrey sasa...
 
Pole kwa wote waliopatwa na hii ajali. Mungu awahifadhi mahali pema peponi wote waliopoteza maisha na awaafu waliojeruhiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…