Singasinga Vs Madenge

Singasinga Vs Madenge

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
Madenge akiwa mdogo sana kabebwa na mama yake wanawait daladala kituoni Mara singasinga akaja, kama kawaida ya masingasinga wamefuga ndevu mpaka zimeziba mdomo, mambo ya madende ndo yakaanza...

Madenge : mama mbona huyo mzungu hana mdomo?
Mama : we kimya,
Madenge : Mama kwanini huyo hana mdomo?
Singasinga kuona wanamfata fata, kwa jazba akafumbua mdomo,
Singasinga : we toto pumbafu sana na hii ni ***** ya mama yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom