Sinema ya DA CHEMI na FISHBOURNE hii hapa

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,546
843
ndio yule DA CHEMI anayependa kupiga picha na mizinga ya KONYAGI kwenye blog yake DVD QUALITY..huna haja ya kudownload..wewe bonyeza link subiri iload kisha iache itaplay

429px-

PART 1
http://www.zshare.net/video/120074667a399cc9/
PART 2
http://www.zshare.net/video/12007507f2f7ca5c/
PART 3
http://www.zshare.net/video/120075222f711938/
PART 4
http://www.zshare.net/video/12007501ff613d5b/
 
Hivi mzee unatumiaga Torrents?

la hasha..niko part 3 na bado sijamwona huyo CHEMI aliyedai kwenye blog yake kuwa alikuwa extra kwenye hii movie kama bar maid..nimetazama scened mbili za Boston na kule Vegas sijamwona..lakini kwa sababu bado sijamaliza kuitazama basi nitakufahamisha yuko kwenye scene gani
 
Ngoja nianze kuiangalia....lol lakini sijui huyo Da Chemi anafananaje....
 
Part ya mwisho ya hii movie inakosekana.....niliidharau baada ya kusoma reviews zake especially za Rotten Tomatoes...ila nimejikuta nimeiangalia hadi hapo ilipokatikia...na mimi vile vile sijamuona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom