Sinema ya avatar(2009) asili yake ni masai

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Wenzetu sijui walituzidi nini!

ile sinema ukifatilia mpaka mwisho unaona jamii ya viumbe walikuwa hawa taki binadamu kuharibu mazingira yao.

baada utunzi watu wakaja kugundua mauzi ilikuwa kwa ajili ya masai




pili wazungu wanatumia taswira nyingi kwa muafrika

 
Hii umesema wewe mkuu.

james cameron aliimagine tu hii movie na hawa viumbe pamoja na artist wengine ndio maana ikaitwa sci fi.
Hii ni movie ni sci fi kama avengers, now unaweza sema marvel walimtengeneza Thanos kupitia characteristics za bill gates ambaye anataka kupunguza population duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…