Umesahau huwa wananawishwa miguu na kufutwa miguu wallah hizi ni nyakati za mwisho kisa cha kuambikizana mifangasi nini Tenda Neno shika NenoDini ya leo ni biashara inayolipa sana na kila mwenye uelewa kidogo wa theolojia hutaka kuanzisha kanisa lake
Kuna baadhi licha ya pesa Kuna mambo ya siri wanafanya au wana taratibu zao zenye kuacha maswali mengi
Hivi karibuni nilikutana na mwamimi aliyekimbia kanisa la Sialom mkoani pwani akanihadithia mengi ya kushangaza
-kwao majina si kama haya yetu bali majina yao ni kama haya..Siku yake!Ahadi!Agano! Kimbilio! Jaribu nk nk
-Chakula kwao wanaita karamu
-Maji yanaitwa damu yake
-wakipigiwa simu hawataji eneo husika bali wanasema wako mlima wa moto ili adui asijue uko wapi
-Wanaamini makombo ni tiba (makombo ya Chakula wanakula makuhani wao )
-viongozi wao wanajulikana kwa jina la makuhani
-ibada zao huanza saa sita alfajiri kwa kughani maneno ya kujirudiarudia tena kwa sauti ya juu (kupayuka)
-nguo zao ni suruari fupi nyeupe na kanzu
Maisha yao kwa sehemu kubwa wanategemea malipo kwa wale wanaokuja kuponywa kanisani
Hii ni imani lakini ni vema ukaamini kitu kisicho na ukakasi...muumini huyu amefanikiwa kukimbia na sasa yuko huru
Unashangaa nini ndio kauli mbiu yao hiyo Shika Neno....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Shika neno tenda neno mtumishi[emoji5], ukiwa wa imani tofauti hata salamu hupati na wanaoana wao kwa wao, ukimtaka mtumishi lazima ukasali kanisani kwake na uvae kanzu/gauni jeupe na ushinde kanisani siku nzimaUmesahau huwa wananawishwa miguu na kufutwa miguu wallah hizi ni nyakati za mwisho kisa cha kuambikizana mifangasi nini Tenda Neno shika Neno
Halafu wana shuhuda za kushangaza kweli eti kuna binti alifanikiwa kupata mchumba hapo kanisani kwa kula makombo ya kuhani na mwingine aliponywa menoShika neno tenda neno mtumishi[emoji5], ukiwa wa imani tofauti hata salamu hupati na wanaoana wao kwa wao, ukimtaka mtumishi lazima ukasali kanisani kwake na uvae kanzu/gauni jeupe na ushinde kanisani siku nzima
Ukiumwa hakuna kwenda hospitali, ni maombi tu.Halafu wana shuhuda za kushangaza kweli eti kuna binti alifanikiwa kupata mchumba hapo kanisani kwa kula makombo ya kuhani na mwingine aliponywa meno
Hili nalo jipu linatakiwa kutumbuliwa wanalitumikia Taifa saa ngapi hata kwenye Biblia imeandikwa asiyefanya kazi na asile halafu zile Biblia magamba ya nje huwa wanayatoa duu haki ya nani tembea uone mamboShika neno tenda neno mtumishi[emoji5], ukiwa wa imani tofauti hata salamu hupati na wanaoana wao kwa wao, ukimtaka mtumishi lazima ukasali kanisani kwake na uvae kanzu/gauni jeupe na ushinde kanisani siku nzima
Ndio maana wamekufa wengi sana kwa ukimwi waliokuwa wanasali hapo (sloam makonde mbezi beach) kwa kuacha ARV'sUkiumwa hakuna kwenda hospitali, ni maombi tu.
Asee kazi kwelikweli
Mkuu kwa nini msiende kuwasemea kwa serikali ya kijijiHawa wapo pia Mbezi beach makonde, yaani ni shida asee! majirani hatulali
Mshana jr Hembu kama unaelewa utupe historia kidogo eti lile hekalu pale nyuma ya petrol station ya pale kinondoni Morocco huwa wanasali watu gani na siku gani na ibada zao zipoje unaruhusiwa kwenda mtu yeyote au kwa watu maalum na huwa linaitwajeHizi imani nyingine hizi[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Unaanza anzaje kwa mfanoMkuu kwa nini msiende kuwasemea kwa serikali ya kijiji