sina wangu...natamani kupendwa

sina wangu...natamani kupendwa

still young boy! am 26 and cngle and happ coz i hav confidence in my self, and i will hav someone as long as i decide. Relations and love ar alwys there.
 
Kaongea kwa huruma sana, wadada na nyie si mkubali?
 
21 years n single jaman..

Upendweje? Kama shida ni kupendwa ungeanza na wanafamilia yako hapo kwenu? kama hupendwi na wanafamilia yk, vp cc wanaJF? Then panda dala dala muombe konda awaambie abiria kuwa unataka kupendwa! unasom? muombe CR ama monitress atangaze unaomwa kupendwa? Nenda pia sokoni, gengeni, bucha, church, saloon pia kawaombe kupendwa! cc tunaogopa km tutakupenda na MUNGU AKAKUPENDA ZAIDI tutakumiss!
 
Sema mtakuja wengi...

Kama ni boy mwanangu katafute pesa watakuja wenyewe tu ila ukibaki kulalamika utashikwa makali.o na wanaume wenzako na hutamwona hata mmoja mwanamke wa maana anakuja kwako. Ila kama ni girl, nipe namba tatizo lako limesikika
 
Come on now,just 21years and you are complaining.....We bado mbichiiiiiiiiii.....You have a lot ahead of you...Prioritize other things in your life right now if love is not with you......

Hahahah umesahau kilometers zinavyosoma Ebu muulize, unaweza kuta inahitaji full service na kufanyia overhaul full engine. So year of manufacture haijalishi kinachomata ni kilometers zinasomaje.

Jamaa yangu juzi kati kavuta kitu ya 2013 lakin kilometers zinasoma laki na themanini. Kama hivyo unategemea nini humo.

Ebu mrudishe ajieleze kwa kirefu zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom