Sina valuvalu bebee.. .

Sina valuvalu bebee.. .

Aisee, hapa ndo wapi bana, naomba mtu anielekeze hadi kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, jamiiforums. Nadhani hili ndo lile jukwaa la lavu konect! 🙂
 
Nimekumbuka chameleon wangu enzi zile daaah.... nilikuwa naimbiwa kwenye public places hadi naona aibu aahahahahahahhahahahaaaa.

Valuvalu by chameleon. Nyimbo zake nilikjwa nazicheza nikiwa na glass 2 za wine kichwani Aahahahahaa kweli ujana maji ya moto looh.
 
How old are you now?
 
Back
Top Bottom