Sina usingizi kabisa

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,739
Sijui naumwa!!!
Sijui nina mawazo!!!
Sijui ni huu uzee!!
Sina usingizi.
Nahitaji maombi sasa!!!
 
mwaya poles sana

kwani huko kwenu SPAIN mmenyang'anywa ndo maana hujapata usingzi kwa mawazo mkijua linakwenda marekani ya kusini au?
Sijui naumwa!!!
Sijui nina mawazo!!!
Sijui ni huu uzee!!
Sina usingizi.
Nahitaji maombi sasa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…