Sina uhakika wa moyo wangu msaada unahitajika

Sina uhakika wa moyo wangu msaada unahitajika

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana JF

Nahitaji ushauri wenu maana wasichana wa siku hizi hawakawii kutibuka.

Kuna msichana kanadai kananipenda sana nami sina uhakika na hilo ila dalili zinaonesha ni kweli ni mtoto wa miaka 20 tena ni virgin ila kiupande wangu nahisi kuwa namtamani tu kutokana na figure no 8 anavyoona njia ya kuniteka ni kunipa virgin yake ndio atakuwa kanionesha upendo wake wote ila kwa vile sionekani kumpenda nahofu ndio ataniganda kama nitamgegeda na nikimuacha nahisi atajengwa na dharau kuniona sina maana.

Hebu nishaurini
 
Kweli mchakato wa katiba mpya utachukua muda mrefu sana kukamilika kama mambo tunayoyawaza ndio haya!
 
Huitaji ushauri wowote, what you need is the will to act, and no one can give it to you but you....
 
Kama umpendi na umtaki mlie bati mtoto wa watu,kama wataka gegenda katafute wengine walio zoea lakini kwa huyo mtoto untachable muache tu na bikra yake.
 
!
!
foley killers 'wanted $132m
ransom'
Islamic State jihadists demanded a
$132m (£80m) ransom for the
release of US journalist James Foley,
his employer GlobalPost says.
 
ulijuaje ni bikra wakati hamjafanya tendo la ndoa pamoja? Wako hadi 12 na si virgin
 
achana nae mimi nilipata ugonjwa wa ngono katika mazingira kama hayo kapime naye kanzwa
 
Mijitu mingine bana sasa ndio nini kutuonesha uzembe wako..
 
Rejea post wasichana wengi wa chni ya miaka 23 wamefubaa,kisha toa maamuzi
 
Eti "kanadai kananipenda" bila shaka katakua kabaya, kaache katoto ka watu bhana
 
Habari wana JF

Nahitaji ushauri wenu maana wasichana wa siku hizi hawakawii kutibuka.

Kuna mschana kanadai ananipenda sana nami sina uhakika na hilo ila dalili zinaonesha ni kweli ni mtoto wa miaka 20 tena ni virgin ila kiupane wangu nahisi kua namtamani tuu kutokana na firger no 8 anavyoona njia ya kuniteka ni kunipa vergin yake ndio atakua kanionesha upendo wake wote ila kwa vile sionekani kumpenda nahofu ndio ataniganda kama nitamgegeda na nikimuacha nahisi atajengwa na zarau kuniona sina maana.

Hebu nishaurini

20 virgin??? Ulijaribu kuuliza ya wapi
 
this is
bullshit-bs-smiley-emoticon.gif

Mmh jamani mke wangu ...

Started by mahirtwahir, 23rd May 2014 06:17
Habari wana bodi.

Natumai hamjambo?

Naomba munisaidie mi nimeowa toka mwaka 2007 mke wangu alikua mwembamba ( kibasmati ) yaaani sio siri nampenda hadi kesho tatizo ni kua baada ya kujifungua mtoto wa kwanza mwaka 2009 alinenepa kiasi sikichukia sana ila nilimuambia sipendi awe mnene mambo yamezidi mara kumi alipojifungua mtoto wa 2 kawa kibonge mbuno huo tumbo limeengezeka balaa yaani hadi sijui nimfanyeje?

Mwanzoni nilikua nampangia malaji na naibana bajeti ya kula wakati tuko na mtoto 1 tena mchanga ila siku hizi siwezi maana nikibana bajeti nitaumiza watoto.

Nimemueleza kua ajipangie utaratibu na mpangilio wa vyakula lakini wapi hanielewi anaishia kuniambia kua hata alipokua mdogo alikua mnene sana alipungua alipokua mwari.

Mi kwa kweli sipendi mwanamke mnene nifanyeje
?
Nakuomba leo moja tulale wote........

Started by mahirtwahir, 17th May 2014 20:36
Wakuuu habari zenu?

Natumai muwazima wa afya?

Si zamani sana niliweka ukumbini kua mke wa mtu ambaye alikua ni x wangu ananisumbua kwa kutaka tuwe wapenzi na kibaya sote tuko katika ndoa na familia pia mimi niko na watoto 2 yeye anao 4.

Ni muda wa nusu saa uliopita yaani ilikua ni saa mbili kasoro dakika 5 za usiku huu nimepokea simu kwa namba ngeni ikiniomba niilipie kwa kuwa yeye hana salio nilipuuza ila alipiga zaidi ya mara 3 nikaona ngoja nimpigie isijekua ni mame chanje (my wife) kupiga nakutana na sauti ya x wangu baada ya salamu aliniambia hivi "mahiri najua mke wako hayupo hii ni wiki ya tatu hadi leo nimeulizia nikaambiwa hajarudi nakuhitaji usiku wa leo saa 4 uje kwangu na jiandae kulala kwangu unipe kitu nilichokikosa kwa miaka kadhaa nakuomba usinikatalie japo kwa leo tuuu halafu ukiwa hutotaka kuendelea nami nitaheshimu maamuzi yako na kukuacha uishi salama na familia yako"

Ni kweli kabisa wife hayupo na hali hii ya mawingu inanipa shida sana na najua kua nae mume wake ameenda msibani hawezi kurudi kwa wiki hiii.

Akili inaniambia nipashe kiporo hichi ila najua kua nikipasha kiporo kitaniganda.
La zaidi ni kua namuogopa mungu nitamjibu nini siku tukikutana kwa kulala na mke wa mtu najua hata nijifiche vipi mungu ataniona.

Jamani ushauri wenu
Wazazi wenzangu nishaurini

Started by mahirtwahir, 22nd April 2014 21:39
Kwa kweli huuu ni mtihani kwangu tena karibu ya kushindwa

Mimi ni baba mwenye watoto 2 wa kiume yuko miaka 5 na wa kike mika 2

Baba mimi nakiri kua nawapenda sana wanangu kwa hali ya uwezo mungu alionijaalia ila ndugu zangu siku zote wananiona siitendei haki familia yamgu kwa kila ninalojitahidi dada zangu wanaona sivyo lawama kwangu ndio dira ya maisha yangu kila siku kutoka kwa familia yangu.

Leo saaa 2 na nusu dada kanipigia simu kua mke wangu hajaenda tulipopanga huku akiwa na mtoto anataka kupita nae majiani huku mukiwa na miti mikubwa kama miembe ambayo ni nyumba mzuri kwa mashetani mara watoto wanazurika dada huyo alipiga simu na kunishambulia haikunipa tabu nikaona wacha nitatue tatizo saaa 3 na nusu napigiwa tena simu naambiwa mi nimelala wakati mwanangu wa kiume hajaingia ndani yeye analala kwa bibi yake kwa vile nimepanga chumba 1 naye namuhisi ni mkubwa si vyema kulala nae chumbani nikatoka kuenda kumtafuta nimemkuta anaangalia tv maskani mtito ni peke yake nikaamua kumrudi kwa mikwaju kwa vile nimeshampa onyo mara nyingi nafika nae home madada wananifokea na kutaka kunipiga eti nimempiga vibaya mtoto.

Ikabidi ningurume kutuliza hasia wakaona nao naweza kuwashambulia nikaekejea home kulala

Kila siku nimekua sina jema nifanyejeeeee?
cc:The Boss,Kaizer
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom