Sina uhakika kama diadora ndo watengezaji wa jezi za Simba

Sina uhakika kama diadora ndo watengezaji wa jezi za Simba

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Nimeona jezi za Simba alizitengeza diadora zikiwa mbaya mno.
Nina wasiwasi kama kweli jayrutty alitwambia ukweli kama diadora ndo atakuwa na mashirikiano nae ili wazalishe jezi Bora

Diadora ni kampuni kutoka Italia na imejijengea heshima kubwa hasa kuvalisha mastaa wakubwa wa mchezo wa tennis šŸŽ¾

Hapa kwetu katoa kituko, lakini tukumbuke diadora Kwa Sasa hana timu Ulaya anayoitengeneza jezi.

Diadora amejikita kuzalisha jezi mchezo wa tennis šŸŽ¾ tu labda Kwa uchache ana timu mbili za football huko Brazil

Sisi kama Wanachama wa Simba jezi hatijazipenda ni mbaya mno, Bora hata sandaland ambaye japo aliziita jezi zetu sanda ila amewazidi jayrutty na diadora wake

Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu wana Simba tunadanganywa mno
Screenshot_20250825-081644.png
downloadfile-2.jpg
downloadfile.jpg
 
Nike ni kampuni kubwa sana lakini angalia jezi wanazowatengenezea Chelsea ni hovyo kabisa.

Jezi za nyumbani za Chelsea kwa misimu kama mitatu ni za hovyo sana

Hata Adidas amekuwa akilaumiwa kutengeneza jezi mbovu kwa Man Utd tofauti na Arsenal.

Hoja yako haina mashiko, tusubirie kwanza jezi zije tuzione lakini daima mapungufu hayakosekani
 
Back
Top Bottom