Sina shida ya hela mimii


Yani sasa hivi kila kitu Freemason... kwani huwa mtu anaekosea no anakua anaijua hiyo no? Huyo ni mtu tu kakosea kama ww na wengine mnavyokoseaga
 
Aaaah! jamani kumbe una sauti nzuri hivyo mpaka moyo umeshituka, maana yangu tunaweza kuyaweka sawa ili tupate katoto?

jana chachi tulijifunza somo linamhusu mfalme daudi..
 
Amka uende kazini ww

haaa kumbe kushakucha...yelewiiiii ngoja nikurupuke nikaoge hiyo foleni ya bafuni sasa duh....ngoja nikuje kuogea kwako lasivo leo kibarua kinaeza ota nyasi
 
Yani sasa hivi kila kitu Freemason... kwani huwa mtu anaekosea no anakua anaijua hiyo no? Huyo ni mtu tu kakosea kama ww na wengine mnavyokoseaga

kakosea sawa sasa siku zote hizi hawajashtuka tu... nasubiria kwa makini wapige niwape hela yao kimyaaaaaaaa mmmhh
 
haaa kumbe kushakucha...yelewiiiii ngoja nikurupuke nikaoge hiyo foleni ya bafuni sasa duh....ngoja nikuje kuogea kwako lasivo leo kibarua kinaeza ota nyasi

Usijisumbue kuoga kwan siku moja inashida kani kuliko uchelewe kazin
 
haaa kumbe kushakucha...yelewiiiii ngoja nikurupuke nikaoge hiyo foleni ya bafuni sasa duh....ngoja nikuje kuogea kwako lasivo leo kibarua kinaeza ota nyasi

njoo kwangu hamna foleni kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…