Sina shida ya hela mimii

sa ntaitoaje???? hata namba za siri sizijui pia nlikuwa sifahamu kama alijiunga na hiyo tgopesa ndio leo nimejua yan..ila ngoja nisubiri subiri huenda mwenye hiyo hela akanitafuta nkiona kimya ndio ntafanya as u told me.

Hapo inabidi mwenye line atoe msaada wa password
 
Ndo umenipotezea ama...??

no best jaman bado nakupenda ujuee..uwepo wako MMU ni muhimu sana so sitaki kukupoteza kirahisi ngoja tuivutie kasi labda mmiliki atapatikana sitaki dhambi miyeeeeeee nilizonazo zatoshaaaaaa
 
Hapo inabidi mwenye line atoe msaada wa password

hata hapatikani nlimtafuta nimuulize sikumpata sijui kama kabadilisha line au laa mana last time kumuona ilikua mwez march
 
Plz...acha kuninyima ww,si lazima nipitie getini

khaaaaaa I see nikiasi gani ulivo mtundu mbinu zote unazijua duuuuuuh we hatareeeee asee usikae karibu na watoto utauaaaa
 
Ntakurushia ila ujue kama ni ya mashetani unabaki nayo kwangu inakuja hela safi kabisa

wee yamekuwa hayo tena basi bora tuiache...nkiikupa wew mimi sihusiki hapo kama ni kafara wakutoe wewewew uloila hela yao
..
 
khaaaaaa I see nikiasi gani ulivo mtundu mbinu zote unazijua duuuuuuh we hatareeeee asee usikae karibu na watoto utauaaaa

Naingia nw halaf saa 11 natoka...nakuacha mwepesi...naondoka ulimi unauma
 
Hahahaha umenifurahisha.Kwani hela inaingilianaje na mtoto?

nikifa sijaacha hata damu yangu je?????? bora mtoto akiwepo ndugu hawatatolea macho mali na mirathi..tehetehe
 
Kumbe ni ww?? Bc hiyo hela nenda kachukue ile room nakuja mida
 
Kumbe ni ww?? Bc hiyo hela nenda kachukue ile room nakuja mida

wee usinitishe banah mi nalala pekeangu afu naogopa sana yan...
pls mimi nimuoga usiseme hivoooo
 
Usiogope mamiee nakuja sa iv ila hela si umepata lkn?

chiizaz......chizaz...! achia in the name of almighty .....I command u to go back where u came from u devil ....leave....leave...n never come back....fire fire ....I fire tuuuu..halleluujah...
 
chiizaz......chizaz...! achia in the name of almighty .....I command u to go back where u came from u devil ....leave....leave...

Umemaliza kama bado malizia m nachelewa eti
 
Umemaliza kama bado malizia m nachelewa eti

daaaaamuuu yaa yeeesuui,,,daaamuu yaa yeesuuu daaamu ya yeeesu hutakasaa kabisaaaa...nanguvu za shetani zimeshiiindwaaa..na nguvu za mapepo zimeshiiiindwaa na nguvu za wachawi zimeshiiiiindwaa asifiwe mwokoziiiii...theriz fire everywhere.....njoo uone utakavounguaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…