Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Tangu shulet ya msingi sijawai kuwa na Rafiki wa kike,napata wakati mgumu sana na nahisi kuna kitu nakomiss sababu sina Rafiki wa jinsia ya kike ambaye tunaweza piga story nasisitiza sina Rafiki wa kike ukiondoa mchumba wangu cna Rafiki wa kike na natamani niwe na marafiki wa kike sio wapenzi ni Rafiki tu sababu ata kwenye simu cna namba ya Rafiki wa kike