Kama nitaendelea kuwa na free time hivi, nitaanza kukufollow, una tukomenti tutamu sana twa kijanja...
Sasa mtu akiangalia na ka avatar kako kalivyo kazuri, basi anakuwa ana assume kwamba huyo hapo kwenye avatar ndio anakomenti, hii inakuwa na magnetic effect, tuliosomea mambo ya Oscillation tunasema, It has magnetic explosion, due to polarization horrizontal!