Sina neno

Mashakamashaka hata ukikuta ndizi mbivu kwa frij ya mrembo ichunguze vizuri usiifakamie
 
Hii picha huwa nacheka mpaka nataka kuzimia. "yesteday, it took a horse and two men to start the car". Hapo gari imekataa kuwaka na wanajribu ku-refer kilichotokea jana yake.
Bushman anakimbia akiwa amebeba bunduki ya mtu, mwenye bunduki naye anamkimbia bushmen akidhani kuwa bushman anataka kumpiga risasi, huku bushman akiwa hajui kabisa kuwa bunduki ni kitu gani
Picha inachekesha sana hii
Hiyo chupa hatimaye alifanikiwa akaenda akaitupa mwisho wa dunia
 
Mimi kwenye Sprite nilikuta Wembe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…