Sina namna nakuja Dar

Maisha popote njoo ujaribu bahati yako
 
Waswahili tuna msemo wetu kuwa "Mtembea bure si sawa na Mkaa bure"

Kila la kheri Mkuu, Mungu abariki kazi za mikono yako huko Mjini 🙏
 
Lakini Huwa mnaazisha thread za kuwaponda watu wa Dar?
 
Njoo DSM mzee, mimi nilisema sirudi nilipotoka mpaka nitoboe hapa DSM na nimekaza kweli, huku fursa kibao ni wewe tu na ujanja wako. Na nikitoka hapa nachumpa abroad, yani siangalii nyuma kudadeki, mliopo Canada mjiandae kunipokea.
 
Wasikutishe tamaa karibu Dar, huku unaweza kuishi hata kwa upambe siku hizi wanaitwa chawa.
 

Attachments

  • IMG_20220914_173301.jpg
    44.6 KB · Views: 4
Mm nitakupokea,uwe unalala ila kula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…