Sina mpango na mademu...!!!

I assume unavutiwa na wanawake so sioni tatizo; wewe soma tuu wanawake wamejaa kila kona, pata elimu kwanza, kazi pesa halafu wenyewe watajileta.
 
I assume unavutiwa na wanawake so sioni tatizo; wewe soma tuu wanawake wamejaa kila kona, pata elimu kwanza, kazi pesa halafu wenyewe watajileta.

Shukrani Mwanajamii.! nafanyia kazi haya.!
 
tunasema graduate with A's not with AIDS. bifsi nakushauri achana na mambo ya wadada kwanza pga shule jenga maisha hawa watakuja tu kwa wakati muafaka. ni hatari sana kuchanganya haya mambo hasa kwa elim kubwa
 
ngoja uonje utamu wa K utaniambia...alafu wewe utakuwa mzee wa puchu sana
 
Back
Top Bottom