Sina mpango na mademu...!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sina mpango na mademu...!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by King Mutesa, Sep 7, 2012.

 1. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wanajamii Wenzangu.!!

  Tangu kubalehe kwangu mpaka sasa najiunga na chuo kikuu sijawahi kuwa na demu wa aina yeyote ile.!!

  Nikiwa shule huwa napenda kupiga msuli na nikiwa home huwa napenda kusikiliza muziki..!!

  Sasa je Wanajamii nikiwa chuoni niendelee na huu msimamo wangu au ntafute kademu kakuniliwaza..!!

  NB-:Haimaanishi mie ni mwanaume mbovu..!!!
   
 2. panyabuku

  panyabuku Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Timbulo
   
 3. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Nani kakwambia mademu wanaliwaza? we endelea kuchafua mashuka usiku tu. Ukiwa chuo talipa pesa kwa wamama wa kufua watakufulia, na hivi utakuwa na boom
   
 4. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Sina domoZege.!
   
 5. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Daaah.! Kwa hiyo niendelee kukaza mishe zangu.!
   
 6. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Napatafakari hapa,
  Nikipata jibu nitarudi
   
 7. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wewe sio mzima...its not normal kwa kijana wa kitanzania mwenye umri kama wako. . . . . . nini kinakufanya usiwe nae?
   
 8. b

  bizzare Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usimdangannye mdogo wetu uzinzi sio lazima keep it up guy usidanganyike tena watu waliojitunza kama wewe huwa ni rahisi sana kupata hiv achana na mawazo ya ngono kasome utapaparikia mademu vicheche wa chuo uishie kuukwa?kwani umeona umepungukiwa nini kipindi umekaa bila kufanya?
   
 9. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  ushauri wa bure kwa sisi tulio soma vyuo vikuu,mkuu uendapo chuo bora kujifanya mjinga na haya mambo iseeh ni hatari kule unaweza ukawa player matata,wewe kapige msuli mademu wapo.Usisahau kale kamchezo katakusaidia uwe huna mzuka na ma chick.Kuwa makini HIV/AIDS ni hatari na ipo mahali popote.
   
 10. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Shukrani kaka.! Ushauri mzuri sana..!
   
 11. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Urudi na wazo la kujenga na si kubomoa..!
   
 12. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  We kweli haujui kushauri.! Si nimesema hapo juu nakuwa bize na kitabu na kusikiliza muziki.!
   
 13. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Sijapungukiwa chochote kile ndugu..!
   
 14. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  umejuaje?
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,450
  Likes Received: 22,397
  Trophy Points: 280
  Huna pesa, huna mvuto, mshamba na kitandani huwezi kitu, je akutake mwanamke gani? Acha janja yako ya sizitaki mbichi hizi
   
 16. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Duh, mwanaume unakuwa bikra mpaka 2012 hii? Mimi nilifikiri hizi species zilishatoweka.
   
 17. b

  bizzare Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi kama hujapungukiwa chochote endelea na msimamo wako achana na mawazo mengine
   
 18. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mmmmh..!!! Kwa hiyo unanishauri au unanikashfu..!
   
 19. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kwani Ajabu nini..!? heri ya mimi bikra je,hao mabwabwa.!
   
 20. King Mutesa

  King Mutesa Senior Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yaani we jamaa..!! Kweli wewe ndio RAFIKI MSHAURI..!
   
Loading...