Sina Mgogoro na CHADEMA

Pasco kuja hapa uchukue taka taka yako ukaifanyie counselling
 
Last edited by a moderator:
Napeleka lawama zangu zote kwa anayemlipa Ludovick, kama yupo. Kama kuna mradi unaendelea katika posts za Ludovick hapa JF basi ni dhahiri huo mradi hauingizi faida. Nani anamwani huyu wakati huu ambapo yeye mwenyewe ni mtuhumiwa? He sounds suspicious in all senses of the word.
 
Bwana Ludo, kijana mwenzetu, wewe binafsi unajitathmini vipi kuhusu uzoefu wako wa siasa??
Binafsi napata shida sana kukutathmini kila ninaposoma "articles" zako. Mimi sio mfuatiliaji sana wa mambo ya siasa, kwa hiyo niwe mkweli kabisa ya kwamba nimekufahamu baada ya kusoma "article" yako moja inayoongelea chadema kuwa na utaratibu wa kugawa hela kwa baadhi ya watu wanaohudhuria mikutano yao. Kwa hiyo hii ni ya pili.
Najiuliza, Je unauzoefu wa kutosha katika siasa au ndiyo upo katika kuitengeneza "career"!
Niwe muwazi kwa pande zote mbili. Mosi, kama unauzoefu wa kutosha katika siasa tafadhali sana weka vyeti vyako vya ualimu katika "bag" kama sio kuvichoma. Hutakiwi kufundisha hata kidogo, hasa siasa kwa vizazi vijavyo. Ila kama ndiyo unaingia katika siasa, fahamu ya kwamba umepokelewa katika "mikono" ya mentor(s) isiyo sahihi. Lakini pamoja na yote haya utambue kuwa mwisho wa safari si huyo(hao) mentor(s) wako watakaosulubiwa, ni wewe.
Utashi wa siasi haupo kabisa hapa, ila ni kunesa kulingana na kelele za Watanzania wachache wenye ushabiki wa vyama. Hata kama kuna uhuru wa mawazo, hii hapana. Tuutumie huu uhuru kwa manufaa ya nchi, si hizi sarakasi za kuigiza ati ni siasa! Mnasahau kuwa sarakasi zenu (ambazo ninyi ndiyo mnatafsiri kuwa ni siasa) zinazidi kujenga mioyo ya chuki kwa Watanzania wanaoishi kwa matatizo lukuki. Mnasababisha watu wajilishe viapo mioyoni mwao, jambo ambalo ni hatari.
Kama unaamua kuwa mwanasiasa fanya siasa. Nilichosoma katika "articles" zako hizi mbili hakifanani na siasa.
[Mtazamo wangu]
 

Stupid moron... surprised unapata wapi balls za kuendelea kujinasibu pamoja na roho yako mbaya sana

Mtesaji na katili mbaya sana wewe

Not sure how people like you even get the courage to continue mocking people around like you do

shame on you
 
Yaaani huyu mtu anafanya makusudi!!
Watu wa makusudi wataisha lini nchini hapa!!? Kwa nini mtu alete makusudi/mzaha, tena katika siasa ya level ya Kitaifa!?
Tunahitaji kujenga nchi; hivi kwa nini hatuna wivu na wenzetu walioendelea!? Hii hatua ya kufix akili za watu ziondokane na mtazamo wa mizaha na makusudi katika mambo ya Kitaifa tulitakiwa tuwe tumeipita kitambo sana. Sasa tulitakiwa tuwe tunashindana na kukosoana namna ya kutekeleza mipango ya maendeleo. Kwa kweli, kama haya ni makusudi kuna haja kabisa ya kutiana adabu. Inauma sana kwa kweli, badala ya kuassemble resources kwa ajili ya maendeleo watu wanaleta mzaha!!

mkimuacha atadhani yuko sahihi

He is just an a$$h0le
 
Wewe Joseph Ludovick acha kufosi mahaba yako na CDM ulishajionesha una utaalamu wa kutumika na mabwana wawili sasa kwa Upande wa CDM umeshakataliwa kaa pembeni jengeni ACT yenu na genge lenu la wahu.ni
 
Last edited by a moderator:

Hivi huyu c ndo yule alohucshwa wakati wa kesi ya ugaidi wa Lwakatare? Naomba kueleweshwa tu...
 

Umesema huwa unawasiliana na viongozi wako kila cku,
je ni mara ngapi ulishawahi kumweleza/kuwaeleza haya na ni upi uliokuwa mwitikio wake/wao?
 
Hebu nisaidie
1. CDM ni viongozi wa makao makuu au wanachama??
2. Wanaokukataa ni makao makuu au ni wanachama?
3. Kama jibu la 1 na 2 ni wanachama iweje ujiite mwanaCDM???
 
Jinsi ulivyoandika,unaonesha kana kwamba wasomaji ni mambumbumbu kabisa na akili hawana,kwahiyo hawawezi kukuelewa,nadhani wewe unayejiita mwalimu utakuwa either unavuta bangi au viroba vya asubuhi asubuhi vinakuchanganya kichwani.na tafadhali acha kutumia hiyo professional ya ualimu unaidhalilisha sana,mwalimu gani una IQ ndogo kiasi hicho?
Ndugu usituchefue walimu kwa ujinga unaofanya na kupost vitu ukidhani watu ni wajinga kama ulivyo wewe.
 

Umesoma kwenye finishing line yake alivyomnafki, mzandiki na asiye na haya eti "chadema kitakuja kuwa chama kibaya kuongoza Afrika. Si bure, amelogwa huyu na aliemloga keshakufa.
 
Wewe siyo Mwl. Wewe ni KANJANJA wa UALIMU. Huna lolote la maana uliloliandika hapo. Zaidi unazidi kujifunua jinsi ulivyo KIGAGULA KIONGOZI WA HAO MAPANDIKIZI. GO TO HELL.
 

Huna mpya wewe. Zaidi unazidi kuizalilisha FANI YA UALIMU. HAKUNA MWL. MWENYE AKILI ZA KUNGURU KAMA WEWE. MBAYA ZAIDI UMEZIDI KUJIPAMBANUA JINSI ULIVYO KIGAGULA WA HAO WANAOKUTUMIA KAMA MPIRA WA CONDOM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…