Sina Mgogoro na CHADEMA

Sina Mgogoro na CHADEMA

Kumbe Ludovick ni mwalimu?!.Asije akamwaga sumu kwa watoto wetu anaowafundisha!.
 
Mkuu Pole sana, jipe moyo Jiwe walilokataa CHADEMA huwenda likaja kuwa jiwe kuu la UFIPA.
 
kama unadhani uko sahihi ktk mawazo yako si uende katika vikao halali ukatoe hayo mawazo yako
 
Kama watu wanakusema vibaya kwa uliyofanya,na kwamba haya wakusemeao watu uliyafanya kwa nia njema juu ya chadema,sasa;
1.Wanasema umehusika kumteka Kibanda,je,hili lingekisaidiaje chama unachodai ni chako?
2.Wanasema ulihongwa na Mwigulu iliumrekodi na baadae kutengeneza video ili chama kihusishwe na ugaidi na baadae kifutwe,je,na hili lingekisaidiaje chama ulichokula njama ili kifutwe kwa video ya kutengenezwa?
Jibu hayo kwanza mkuu mwalimu
Kumbe alimrikodi LWAKATARW!!!!!!!!!
Si mlikuwa mnasema ni video ya kugushi??????
wajinga na waongo utawajua kwa kubadili kauli
 
Ludo uko sawa kweli mdogo wangu? Tafuta utulivu na wataalam wa ushauri nasaha wakushauri. Sio kawaida kwa mtu uliyekumbwa na masaibu yote yale umetoka gerezani majuzi na kashafa kibao unakuwa so outgoing. Tuliza akili kwanza ndio ukirudi ukisema unaipenda sijui chadema,sijui unaikosoa ndio utaeleweka. Unalazimisha kuwa somebody wakati we ni nobody na huna madhara yoyote. Nakuonea huruma sana unavyohangaika mara sijui unawasiliana na makao makuu kila siku. Na wasiwasi uchizi unaanza kukuingia. Unajua hata km hayo unayosema unashauri ni kweli sio muda wake kwa sasa kutokana na mazingira yanayokuzunguka. Na hakuna atakayekuchukulia serious hata maadui wa chadema watakupuuza tu. Chama hakina habari na wewe huku unalazimisha kushauri! Tulia kwanza urudi upya polepole. Utakufa kwa kihoro bure. Kwa sasa you are nothing!

Kama anamasikio na asikie
 
chama hakikutaki, sasa kwanini wewe unawapenda? fanya yako kijana, nyie hamna madhara, ni nyuki wa siasa wasiouma.
 
Huyu jamaa hata hiyo degree ya ualimu aliipata vipi. Ni mweupe sana kichwani.

Tiba
 
mwenye akili timamu anakuelewe vema siasa zako za maji taka, kama una yajuwa madudu ya chadema, hapa ndipo maala pake? kuna sehemu za kufikisha malalamiko na maoni yako lakini sio hapa....
 
Ikiwa ni kweli unawasiliana na wakubwa wako hapo makao makui kila siku kwanini usiwaambie huo unaouita ushauri? Lakini ndugu yangu yote uliyofanya kuhujumu Chadema na unayoyafanya sasa bado unasema unaipenda Chadema? Come on Ludo unatuona wooote wajinga ila wewe tu ndio kichwa??? Kuna jamaangu alinambia Wahaya hujiona wao wanajua kuliko wengine na wengine wote wajinga tu, lakini nimegundua sio wote bali wachache style ya Ludo wamo. Ulipata ajali kwenye gari la uenezi la ACT ukiwa kwenye harakati na wenzako wa ACT, unaenezaje chama usichokuwa mwanachama? Kama ni mwanachama mbona hutoi ushauri huko bali chama ulichotoka?

words comrade......
 
Sasa kijana mada yako inausu mgogoro ndani ya chama chako ila cha ajabu umetumia andiko lako kukashifu na kuwaita wanachama wenzako "mazuzu". Kibaya zaidi sasa unasemea ufisadi ndani ya chama kwani hapa ndo taratibu za chama zinakuelekeza useme, na hao wanaoiba sijui mafuta umeshindwa kuwasema kwa vikao vyenu alali vya chama mpaka unasema hapa. Uliitaji useme kuwa huna mgogoro na chama chako si matusi na kashifa hizi nilidhani sasa unajitambua we nani kama kijana kumbe ndo basi unatokomea. Mwisho kama kweli wewe msema kweli mbona hukusema ulikuwa unafanya nini kwa gari la chama cha wasaka madaraka na wasaliti Tanzania ACT?
 
Majibu timilifu ya haya maswali hayawezekani kwa sababu ya kesi iliyoko mahakamani.
ludo kama kesi iko mahakamani nyuzi za nn,pumzisha akili yako dogo, nikushauri, ualimu ni bora kuliko hii shughuri unayofanya ona inavyokutesa.
 
Back
Top Bottom