Sina lengo la kukashifu dini, ila Walokole mna kelele sana

Status
Not open for further replies.

Distant Relatives

JF-Expert Member
Nov 21, 2020
415
729
Nina kaeneo kangu nje kabisa ya mji, ambako ninalima na kufuga kiaina. Sifa moja ya huku ni ukimya wake. Hivyo niliamua kuweka kakibanda ambako ninalala siku nikiamua kuja, nina lala huku, ili kujitibu na kelele za mjini.

Sasa leo nimekuja, nakuta kelele za ajabu. Kumbe kuna kanisa limefunguliwa. Watu wanasali kwa kulia, kuimba na kupiga makelele.

Hivi walokole hamuwezi sali bila kupigia watu kelele?
 
Nina kaeneo kangu nje kabisa ya mji, ambako ninalima na kufuga kiaina. Sifa moja ya huku ni ukimya wake. Hivyo niliamua kuweka kakibanda ambako ninalala siku nikiamua kuja, nina lala huku, ili kujitibu na kelele za mjini. Sasa leo nimekuja, nakuta kelele za ajabu. Kumbe kuna kanisa limefunguliwa. Watu wanasali kwa kulia, kuimba na kupiga makelele. Hivi walokole hamuwezi sali bila kupigia watu kelele?

Pole sana ndio tatizo la kununua viwanja vya SKWATA. Next time nunua Residential Survey Plot hutakutana na hizo kelele.
 
Walokole siwapingi..,ila pale wanapoenda tofauti na huo kauli ya Mwokozi wenu nawashangaa sana
SmartSelect_20210311-185937_Swahili%20Bible%20Free.jpg
 
Nina kaeneo kangu nje kabisa ya mji, ambako ninalima na kufuga kiaina. Sifa moja ya huku ni ukimya wake. Hivyo niliamua kuweka kakibanda ambako ninalala siku nikiamua kuja, nina lala huku, ili kujitibu na kelele za mjini...
Mkuu acha kabisa kweli wanakelele kuna mtaa mimi hama miaka miwil nyuma mzee wanasali saa usiku saa 6,saa 7 na saa 8 kelele hadi unashindwa kulala
 
Nina kaeneo kangu nje kabisa ya mji, ambako ninalima na kufuga kiaina. Sifa moja ya huku ni ukimya wake. Hivyo niliamua kuweka kakibanda ambako ninalala siku nikiamua kuja, nina lala huku, ili kujitibu na kelele za mjini...
Mungu hasikilizi kelele anaangalia matendo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom