Sina komenti...

kumbe ndio maana wakiambiwa piga risasi wanapiga tu.
duh ni watoto ndio wanaliangamiza taifa lao kwa kutojua
 
Huyu alikuwa na umri gani alipoingia jeshini? hii hatari saana yaani tumeanza recruitment za kina Charles Taylor?
 
Hapa mtoto ni yupi?, utoto wake umeupimaje?
kumbe ndio maana wakiambiwa piga risasi wanapiga tu.
duh ni watoto ndio wanaliangamiza taifa lao kwa kutojua
 
jamanii wawezaa kuta ni sura tu ilaa miaka ya kina ngombale....
 
huyo siyo mtoto, ni mtu mzima, ila ana sura ya kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…