geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 667
- 974
Nasema hiv sina kinyongo tena na NEC maadam mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura zinaangukia bar, i'll really enjoy my voting day. Sina hakika nini kitatokea kwa wale Wengine kama ikiangukia kituo cha polisi au ofis ya ccm.
Tukutane 25/10
Tukutane 25/10