Sina imani na wanawake katika mapenzi

Sina imani na wanawake katika mapenzi

julius caesar

Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
94
Reaction score
27
Habari wana JF,

Kusema kweli nimepitia changamoto nyingi za kimapenzi, huko nyuma nimesalitiwa sana na wanawake niliowapenda.Lakini sasa binafsi naona umuhimu wa kuoa na kujenga familia,lakini tatizo langu si mwamini mwanamke yoyote.

Tatizo hili linanipa wakati mgumu sana kuweza kuoa coz sasa kila mwanamke nayempata nahisi simwaminifu.

Msaada wenu wa ushauri Tafadhali!
 
Haya tafuta wanaume sasa kama wanawake hawafai
 
Duuuuhhhhhh....... Mwanaumeee aaaarghhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!
 
Kama huwaamini usioe kabisa.
Ukiwa na watoto ni familia tosha. Watakupa furaha na amani.
Ndoa as ndoa sio muhimu kwa sasa, utajikuta unaishi maisha yasiyo na furaha.
 
Habari wana jf,kusema kweli nimepitia changamoto nyingi za kimapenzi,huko nyuma nimesalitiwa sana na wanawake niliowapenda,lakini sasa binafsi naona umuhimu wa kuoa na kujenga famalia,lakini tatizo langu si mwamini mwanamke yoyote,Tatizo hili Lina nipa wakati mgumu sana kuweza kuoa coz sasa kila mwanamke nayempata nahisi simwaminifu,msaada wenu wa ushauri Tafadhali!

A woman needs rough riding when naked n a real fierce fighting genially but genle n sweet like honey
 
Unataka kuwa CHAWAPUTA for life ama? Mi nilishajaribu ndoa for six years malaika wangu Betty tukashindwana kila mmoja akaenda kivyake. Nilimpenda sana Betty wangu na aliponisaliti na kuchapwa na rafiki yangu sikuweza kumsamehe; na sidhani kama nitaoa tena. Been there done that...Maisha ya ndoa hayana fomyula na kamwe huwezi kumwamini wala kumwelewa mwanamke hasa hawa wa dot Com. We fumba macho, muombe Mungu Akupe mke mwema, mpende mkeo kwa moyo wako wote na mengine mwachie Mungu na Atakusaidia. Naamini waaminifu wapo japo ni wachache. By the way, we ni mwaminifu?
 
Mwombe MUNGU akupatie mke mwema maana mke mwema anatoka kwa Bwana.
 
Kama huwaamini usioe kabisa.
Ukiwa na watoto ni familia tosha. Watakupa furaha na amani.
Ndoa as ndoa sio muhimu kwa sasa, utajikuta unaishi maisha yasiyo na furaha.
Hao watoto ata adopt?
Kama hana imani na wanawake asahau wana exist aendelee na maisha yake. Kila mmoja angeamua based on past experiences ni wachache sana wangekubali kuolewa/kuoa.
Kama ameona hawezi tena kusahau aka move on basi aendelee kuitwa shemeji
 
Surrogate mothers wamejaa. Anakuzalia baada ya kunyonyesha mtoto anakuwa wako.
 
Kama unaweza pata mwanamke ambaye atakuwa tayari kuzaa mtoto na wewe; fanya hivyo then chukua mtoto wako lea. Mimi nimeoa mwaka wa sita sasa sioni faida yoyote,
 
Hao watoto ata adopt?
Kama hana imani na wanawake asahau wana exist aendelee na maisha yake. Kila mmoja angeamua based on past experiences ni wachache sana wangekubali kuolewa/kuoa.
Kama ameona hawezi tena kusahau aka move on basi aendelee kuitwa shemeji

Umbuje wa hommie wangu Kaizer, unajua kuna watoto wa kuadopt? Labda huyo mvivu ndo anawazungumzia. Yani wanaume wenzie tuzalishe yeye atulelee wanetu....
 
Last edited by a moderator:
Njoo nikupeleke chuo cha mapadri mkuu.
Utasolve matatizo yako mngi sana huku duniani kama ushashindwa maisha ya ku cohabit
 
Kama huwaamini usioe kabisa.
Ukiwa na watoto ni familia tosha. Watakupa furaha na amani.
Ndoa as ndoa sio muhimu kwa sasa, utajikuta unaishi maisha yasiyo na furaha.

Nyie ndio mnaopelekea watoto kuishi kinyonge,

Pia hao watoto anazaa na wanaume, paka, mbwa au??? Maana kama wanawake anawaona hawafai ni vema adili na hao niliowataja.
 
Nyie ndio mnaopelekea watoto kuishi kinyonge,

Pia hao watoto anazaa na wanaume, paka, mbwa au??? Maana kama wanawake anawaona hawafai ni vema adili na hao niliowataja.

Hey hey don't take life serious.
Watoto hawawezi kuishi kinyonge, acha kukariri maisha.
Kwa jinsi nilivyomuelewa mleta mada ni kwamba hamuamini mwanamke kiasi kwamba hawezi kuishi naye ambapo haizuii yeyey kuzaa nao.
 
Hakuna mkamilifu katika maisha na hivyo bajeti ya kuchapiwa muhimu kuikubali; mradi mzae mlee familia yenu hata kama baadhi ya watoto hawatakuwa wa kwako. Hapo ndipo dunia ilipofikia kwa sasa; Yesu alisema si vyema sana kuoa lakini ukiona noma oa kujipunguzia baadhi ya mizigo hata kama sio yote.
 
Back
Top Bottom