Sina imani na wanawake katika mapenzi

Sina imani na wanawake katika mapenzi

Atawazalisha dada zake???

Ninyi msifikiri watoto kulelema na single parent ni vizuri, hii kitu inawaathiri sana watoto kisaikolojia, mtoto kuishi na mzazi mmoja itokee kama bahati mbaya lakini sio mtu unafanya mchezo na maisha ya kizazi chako, maisha yetu waafrika hatujafika huko, namuonea huruma huyo kama atasikiliza ushauri huo, tena namsihi akaongee na wababa wenzie wanaolea watoto wenyewe aone kama wanafuraha.

Mfano wa matatizo ya kisaikolojia ni yapi?
 
Kama unaweza pata mwanamke ambaye atakuwa tayari kuzaa mtoto na wewe; fanya hivyo then chukua mtoto wako lea. Mimi nimeoa mwaka wa sita sasa sioni faida yoyote,

Hahaha...
 
Kama unaweza pata mwanamke ambaye atakuwa tayari kuzaa mtoto na wewe; fanya hivyo then chukua mtoto wako lea. Mimi nimeoa mwaka wa sita sasa sioni faida yoyote,

Assnte kwa ushauri mzuri mkuu,nitaufanyia Kazi!
 
Mkuu kwahiyo unategemea kuoa NYANI????Kwamaana umesema unahisi kila mwanamke unayempata cyo mwaniminfu,usijidanganye mkuu pia huko kwenye ndoa kumejaa usaliti wa hali ya juu.
 
Umbuje wa hommie wangu Kaizer, unajua kuna watoto wa kuadopt? Labda huyo mvivu ndo anawazungumzia. Yani wanaume wenzie tuzalishe yeye atulelee wanetu....
Heshma yako hommie wake umbuje,Nimependa hilo jina ulilombatiza,mvivu!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom