Ndege johnHuwa nafungua uzi nausoma nikifika katikati nascroll juu kuona nani ni muandishi,
Kwa uzoefu wangu JF nikikuta nyuzi kabla sijascroll huwa naotea mwenye nyuzi atakuwa nani??!!
Kwa uzi wako huu kuna watu nakufanisha nao.
ZERO IQ
NA FALA MOJA JINA NIMESAHAU
Unataka majimama sasa yakuleeShangazi kuna mtoto wa jirani amechezea simu yangu![emoji30][emoji30][emoji30]
Shangazi siyo mimi ila ni mtoto wa jirani![emoji30][emoji30][emoji30]Unataka majimama sasa yakulee
Nakupenda toto sitaki upwelepwete wataniulia toto anguShangazi siyo mimi ila ni mtoto wa jirani![emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Mkuu ukienda kupima baada ya siku 60 tupatie majibu
Mimi ni totoo yako ila jua kuwa ni mkubwa pia,kwa sababu naona tokea nianze kukuita shangazi kuna watu wameanza kunipotezea eti mimi ni katotoo!Watu wazima na ndevu zetu tuna mashangazi pia!Mimi kuwa mtu mzima hainiondolei sifa ya kukuita wewe shangazi!!Nakupenda toto sitaki upwelepwete wataniulia toto angu
Pambana mkuu mwanaume siyo kujisifia ujinga kama huo[/QUOTEizo tabia za kivulana mwanamme huwez kuja mtandaoni kujisifia unapendwa na wakina dada! Upuuz kbs huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeanza kupotezewaMimi ni totoo yako ila jua kuwa ni mkubwa pia,kwa sababu naona tokea nianze kukuita shangazi kuna watu wameanza kunipotezea eti mimi ni katotoo!Watu wazima na ndevu zetu tuna mashangazi pia!Mimi kuwa mtu mzima hainiondolei sifa ya kukuita wewe shangazi!!