Sina hela lakini wanawake wananitongoza

Unaotea?
 
Mwenywe nimesoma kiswahili na nimebobea hapo. Huko Tataki nilishaingia sana kipindi natafuta shahada ya kwanza. Nitawezaje kurudi kuuliza jambo dogo kama hilo ilhali lipo uchi kabisa. Hakuna sifa hapo.
Mbona sentensi hii inakusumbua sasa kuielewa wakati mi natumia knowledge ya from 4 tu ya division 4
 
Eti una tongozwa zoea utatongozwa na wanaume, uta kunulwa mabuti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Eti una tongozwa zoea utatongozwa na wanaume, uta kunulwa mabuti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mkuu acha paniki kwani nini mbaya kutongozwa na Mke wako?
 
Eti ana jilegeza kabisa na tongozwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] asee we me kweli!?
Mimi sina mke wala sina mpango, labda nikutongoze si ulisha zoea
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Ngoja aje ndani ndo utajua kama anauwezo wa kulelea au wewe ndo utamlea...
 
Mimi sina mke wala sina mpango, labda nikutongoze si ulisha zoea

wewe si mwanamke ndio maana unataka kunitongoza. Au hujasoma kichwa cha habari kinasemaje? Utaliwa tigo fiesta kizembe kenge wewe. Mada inahusu wanawake wakinitongoza wewe unalete puru lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…