Sina hela lakini wanawake wananitongoza

Sina hela ila natongozwa (ni aina gani ya sentensi)

Sentensi kunjiano Mkuu au nimekosea?
Hakuna sifa hapo kwenye hivyo sentesi. Sentensi hiyo inaweza kueleza mambo mengi moja wapo ni kuwa unaweza usiwe na hela lakini ukatongozwa, zipo sababu zingine zinazomfanya mtu atongozwe mbali na hela.
 
Neno sina hela,.........
Lakini natongozwa.......nenda na hizi sentensi tataki udsm au bakita watakuelewesha vizuri.......au aliyesoma kiswahili vizuri atapita hapa atakuelewesha vema
 
Utakuwa na vinasaba vya kike mkuu,

Kutongozwa ni kuwa na vinasaba vya kike?
Mtume Muhamad alipotongozwa na Bi. Khadija alikuwa na Vinasaba vya kike?
Yusuph alipotongozwa na mke wa Potipha alikuwa na vinasaba vya kike?

Unaposema Vinasaba unazungumzia nini Mkuu Huenda unakahoja unataka kueleza?

Ukijibu hayo kwa usahihi nitafuta mtazamo wang kwako kuhusu uwezo wako wa akili.
 
Neno sina hela,.........
Lakini natongozwa.......nenda na hizi sentensi tataki udsm au bakita watakuelewesha vizuri.......au aliyesoma kiswahili vizuri atapita hapa atakuelewesha vema

Mwenywe nimesoma kiswahili na nimebobea hapo. Huko Tataki nilishaingia sana kipindi natafuta shahada ya kwanza. Nitawezaje kurudi kuuliza jambo dogo kama hilo ilhali lipo uchi kabisa. Hakuna sifa hapo.
 
Neno sina hela,.........
Lakini natongozwa.......nenda na hizi sentensi tataki udsm au bakita watakuelewesha vizuri.......au aliyesoma kiswahili vizuri atapita hapa atakuelewesha vema

Sina hela lakini natongozwa
Sikusoma lakini nimefaulu
Sijala chakula lakini nimeshiba
 
Sina hela lakini natongozwa
Sikusoma lakini nimefaulu
Sijala chakula lakini nimeshiba
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Dr Sigara anakuja soon.....sina hela ila natongozwa,neno natongozwa ni adjectives au kivumishi kinachoelezea zaidi sifa ya nomino
Sina hela lakini natongozwa
Sikusoma lakini nimefaulu
Sijala chakula lakini nimeshiba
 
Ndio mara yakobya kwanza kumuona huyo mwanamke?..kwani we huishi maeneo hayo?..
 
ebu rudi kwanza ukampe namba alafu uje nikwambie kitu..
 
Mkuu huu ndo mda wako wakula matunda kuna mda utaonekana umechoka ko itumie nafasi vizuri,usikatae wakikutongoza
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Dr Sigara anakuja soon.....sina hela ila natongozwa,neno natongozwa ni adjectives au kivumishi kinachoelezea zaidi sifa ya nomino

mkuu sijawahi kuona kivumishi kama hicho. Embu niambie ni kivumishi cha nini? Alafu uniambie sifa za kivumishi ni ipi?
 
Ndio mara yakobya kwanza kumuona huyo mwanamke?..kwani we huishi maeneo hayo?..

Mkuu mi nna mishe zangu mara nying narud saa tatu usiku alafu hili duka liko mtaa wa tatu. Sijui umenielewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…