Sina hela lakini wanawake wananitongoza

Sina hela lakini wanawake wananitongoza

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,336
Reaction score
10,896
MMU mupooo!!

Hivi wanawake wanapenda nini hasa. Nitakuwa wa mwisho kuamini wanawake wanapenda hela kutokana na tabia wanayonionyeshea. Mimi ni kijana wa umri wa kati. Sina pesa, sina gari wala nyumba lakini pamoja na hivyo wanawake wamekuwa wakinitongoza. Haiwezi kupita wiki bila kupata mdada mpya atayejilengesha akitaka ni mlambe Ulolo.

Wanawake wanaojilengesha ni wanawake wenye kazi zao. Walioajiriwa katika vitengo vyenye wadhifa. Kama haitoshi ni wanawake wafanyabiashara zilizoendelea kiasi.

Kilichonifanya niandike huu uzi!

Jana jioni nikiwa hoi taabani narejea nyumbani nikapitia kwenye duka moja lililopo mtaa wa mtatu toka ninapoishi. Nilimkuta Mdada mmoja mwenye miaka kama 28-32. Alikuwa na mtoto wake wa miaka kama minne hivi. Nikachukua unga wa dona nusu kilo na mazaga zaga mengine. Wakati ananipimia unga akaniambia; unampelekea wifi akakukorofishie ee! Nikamjibu naenda kukorofisha mwenyewe. Hapa akaacha kupima na sasa alikuwa tunatizamana. Nioe mimi au hujanipenda. Nina mtoto mmoja, au hujanipenda, eti wewe mkaka.

Kwa waliowahi kupitia hali hii wanaweza kuelewa mtu akiambiwa maneno hayo na mwanamke anabaki katika pozi lipi. Nilimwambia sawa. Mara naomba namba yako basi. Hapa nilikataa. Haiwezekani demu sina mazoea naye na ndio siku ya kwanza kuongea naye alafu nimpe namba kirahisi hivyo. Alinisihi sana huku akisema yeye ni mwanamke mpiganaji sana kwenye maisha ila amekosa tu mwanaume wakumuoa.

Kwa habari ya muonekano ni mwanamke mweupe mwenye mapaja makubwa kiasi na matako makubwa. Ni mzuri sana ila uzuri wake nilitamani niuone akiwa na miaka 18- 25. Ana kigari kidogo cha watoto - Vitz.

Nitakuwa wa mwisho kuamini wanawake wanapenda hela.

joka Jeusi kwa sasa yupo Mbaroni kwa tuhuma za kutoka na mke wa mtu.
 
Sasa si uwaambie wakuunganishe katika hizo kazi?
Au unataka utongozwe na jinsia nyingine?

mkuu ninakazi(nimejiajiri) inayoniingizia hela na sio pesa mkuu. pesa ya kula hainisumbui.
Soma aya ya pili kutoka mwisho ili ujibu swali lako lan kwanza kutoka mwisho
 
MMU mupooo!!

Hivi wanawake wanapenda nini hasa. Nitakuwa wa mwisho kuamini wanawake wanapenda hela kutokana na tabia wanayonionyeshea. Mimi ni kijana wa umri wa kati. Sina pesa, sina gari wala nyumba lakini pamoja na hivyo wanawake wamekuwa wakinitongoza. Haiwezi kupita wiki bila kupata mdada mpya atayejilengesha akitaka ni mlambe Ulolo.

Wanawake wanaojilengesha ni wanawake wenye kazi zao. Walioajiriwa katika vitengo vyenye wadhifa. Kama haitoshi ni wanawake wafanyabiashara zilizoendelea kiasi.

Kilichonifanya niandike huu uzi!

Jana jioni nikiwa hoi taabani narejea nyumbani nikapitia kwenye duka moja lililopo mtaa wa mtatu toka ninapoishi. Nilimkuta Mdada mmoja mwenye miaka kama 28-32. Alikuwa na mtoto wake wa miaka kama minne hivi. Nikachukua unga wa dona nusu kilo na mazaga zaga mengine. Wakati ananipimia unga akaniambia; unampelekea wifi akakukorofishie ee! Nikamjibu naenda kukorofisha mwenyewe. Hapa akaacha kupima na sasa alikuwa tunatizamana. Nioe mimi au hujanipenda. Nina mtoto mmoja, au hujanipenda, eti wewe mkaka.

Kwa waliowahi kupitia hali hii wanaweza kuelewa mtu akiambiwa maneno hayo na mwanamke anabaki katika pozi lipi. Nilimwambia sawa. Mara naomba namba yako basi. Hapa nilikataa. Haiwezekani demu sina mazoea naye na ndio siku ya kwanza kuongea naye alafu nimpe namba kirahisi hivyo. Alinisihi sana huku akisema yeye ni mwanamke mpiganaji sana kwenye maisha ila amekosa tu mwanaume wakumuoa.

Kwa habari ya muonekano ni mwanamke mweupe mwenye mapaja makubwa kiasi na matako makubwa. Ni mzuri sana ila uzuri wake nilitamani niuone akiwa na miaka 18- 25. Ana kigari kidogo cha watoto - Vitz.

Nitakuwa wa mwisho kuamini wanawake wanapenda hela.

joka Jeusi kwa sasa yupo Mbaroni kwa tuhuma za kutoka na mke wa mtu.
Utakuwa una nyota ya ukimwi mkuu...jiangalie Sana
 
Hii sinema iliishaje mkuu

Ahsante sana mama mkwe - JamiiForums
 
Back
Top Bottom