Sina hamu ya kuwa na mpenzi kabisa

Sina hamu ya kuwa na mpenzi kabisa

Ok,pole ila jifunze kupenda kwa akili,epuka kupenda kwa moyo as you will suffer the fatal effects in your life!.....Kuna watu wamependa kwa moyo walipotendwa hawakuolewa tena hadi wamezeeka na wanaitwa bibi wakati hawana hata mtoto mmoja,athari za kupenda kwa kutumia moyo ni kubwa!
shukrani kaka kwa ushauri
 
Jiandae kuwa tajiri Mkuu,....pesa zinazowekezwa kwenye ngono na mahusiano zikifunguliwa akaunti na kuwekwa humo, ndani ya miaka mitatu we ni mtu mwingine.

Ukiepuka kuhonga wanawake, ngono, pombe, na kubeti....lazimaa uwe tajiri tu...no matter what.
 
Poa mkuu
 
unastress tu mkuu zinakusumbua
ukiwa vzr yataisha
 
Back
Top Bottom