Sina hamu ya kuwa na mpenzi kabisa

Sina hamu ya kuwa na mpenzi kabisa

Huyo kwenye avatar yako si Pogba? Hauoni kama kuna connection kati ya ujio wa Pogba na hiki kinachokukuta?

Kama sio hvyo bas utakua upo kwenye kitu kitaalam kinaitwa sex rut, yan unapoteza excitement na thrill kwa mwenza wako kamuone psychologist.
 
Huwezi pona kirahisi kama huja weka akili yako vizuri,....Lasivyo jiunge chaputa
 
Huyo kwenye avatar yako si Pogba? Hauoni kama kuna connection kati ya ujio wa Pogba na hiki kinachokukuta?

Kama sio hvyo bas utakua upo kwenye kitu kitaalam kinaitwa sex rut, yan unapoteza excitement na thrill kwa mwenza wako kamuone psychologist.
Hahaha.. Pogba Hana uhusiano wwte ni na hili tatizo langu
 
Umemchukia tangu lini kama ni baada ya jpm kuzuia wizi basi ujue ulikuwa na mapenzi ya hela,maana sasa helaa imeadimika huwez kumtoa out mpenzio unasingizia kumchukia,jishughulishe ktk haki mambo yataenda
Mpenzi niliye naye wala cyo expensive.. Hela ya matumizi Hadi nijiongeze mwenyew.
 
Huyo ni jini mahaba tafuta msaada wa kiroho haraka kabla hajakuharibia mambo mengi ya kimaisha!
 
Acha strees mkuu jiamini usikae mwenyewe home jichanganye na.marafik wema.. usiwe bze sana na kazi pata muda WA kula bata kdogo.. kula chakula ushibe na kunywa maji ya ktosha.. usichelewe kulala usiku.. simpo sana utakuwa vzur kama umezaliwa jana...
Daaaaah Bonge la ushauri.. Nashukuru
 
Ushamtumia weeee sasa unaona huna hamu kuwa naye


Hiko ndio kipimo chako ukija kuishi kwenye ndoa mtalala mtaamka pamoja

Sijui itakuwaje
Mmmh mkuu ni tatizo tuu.. Nifundishe Jinsi ya kurudi kwenye Hali ya kawaida cyo kunishtumu tena
 
Back
Top Bottom