Robbykan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 509
- 470
- Thread starter
- #41
Asante sana Kwa mawazo yakoKushuhudia kuwaona wapenzi wanasalitiana, wanagombana na kila thread unayoisoma ya wanandoa na wapenzi wamegombana na kuibiwa mke wa mtu na stori za michepuko inatosha kabisa kuwachukia wanawake. Umeingia uwoga tu na hofu ya kuwahukumu wanawake wote sio wakuwaamini.