Sina hamu ya kusex na mke wangu

Mzoea vya kunyonga wewe vya kuchinja huviwezi,hata ukimuacha huyo atakayefata naye utamchukia baada ya muda mfupi!!!
Kwako hamu inaletwa na kutongoza,kununua na kuzengea,vya halali havikuvutii
 
mkeo pia amekuchoka ndio mana hata hakwambii chochote... mlioana kutaka sifa mbele ya jamii!! mmekutana wote mna michepuko cha msingi mueleze mkeo kama unataka aweje au akufanyie vitu gani ambavyo unafanyiwa na vibinti mpaka unapata mzuka!!! miezi sita ushamchoka utakaa hata miaka miwili wewe... mhhh
 
Unatamaa wewe gonga mke achana na vimichepuko utakuja uwa mke wako au apate magonjwa ya zinaa
 
Kazi kujali tumbo tu mjali mkeo acha u fff la wewe
 

wakati mwingine haya maneno mnayoambiana baada ya "shughuli" yanaweza sababisha hali iliyokupata.

je kuna siku baada ya shughuli wife alikueleza hajaridhika? kama ndio, inawezekana hiyo kauli ndiyo ilikuzima stimu mkuu.

bibie hakuwa na nia mbaya bali alikuwa anadai haki yake tu.
 
Tupia picha ya mke wako ili tuweze kujadili vizuri..
 
yaani huyu mtu ni kama simtaki kabisa

Kikubwa unatakiwa ujue michepuko yako iko upande gani..

Kama ni wanafunzi basi huenda unapenda kuona msichana akiwa kavaa sare hivyo mshonee mkeo nae ili afanane nao.

Kama wana inye na mkeo hana basi mtafutie mkeo bu.ttock boost kutoka China.

Kama wanavaa chachandu mtafutie mkeo pia awe nayo.

Kama ni wembamba na mkeo ni tukunyema mpeleke Gym.

Kama wanavaa mitumba na mkeo nguo za dukani anza kumpeleka mkeo Karume nae akasagule.

Ukizingatia haya utadumisha ndoa yako.
 
Pole! Inaonekana spiritual wife anataka akuvunjie ndoa. Unahitaji kutoka kwenye hicho kifungo.
 

Kuna Mkuu fulani alisema... UKILA VYA WATU NA VYAKO LAZIMA VILIWE.. kazi ni kwako..
 
Ushapata mchepuko kaka usitudanganye
 

Ungeendelea kidogo nimepandisha mzuka flani hvi amazing!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…