Sina hamu ya kusex na mke wangu

Sina hamu ya kusex na mke wangu

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa kinachonitesa hujikuta nahonga karibu kila baada ya siku mbili ili kupewa penzi nje angali tena mke naye ana matumizi ya ndani kitu kinachoelekea uchumi wangu kuwa wa mashaka. Ndoa niliyofunga hairuhusu talaka. Najiuliza nifanyeje?

sijawahi mfumania, ana kipato ingawa sio kikubwa tatizo imetokea tu sina hamu naye miezi kama sita baada ya kumuowa hamu ikawa haipo ikanibidi nianze kuwa na mahawara ambao nao ni garama sana hata vibinti navyo ni garama , sasa nikipata hawara naenda nae gemu fresh na nina kuwa na mzuka nashangaa .

Jamani nifanyeje naishi na mtu ambaye sina hamu ya kusex naye?
 
sex inakuwa control na mind yako mkuu... wewe umendekeza uhuni alafu unategemea nini? muhimu anza kumwona mkeo mpya kila akipita jaribu kuvuta hisia cheza nae jokes as much as u can... ukipita shika kalio loh mahaba rudisha ndani mkiss mkiwa pamoja .... mlishe akulishe loh mbona mapenzi yanrudi tu mkuu... sema pia mkeo hajajua kama hisia hauna angejifunza namna ya kukuteka mbona utadata .. nisiseme mengi..... ukilala usiku wekamkono kwenye papuchi yake utpata hamu tu
 
Huyo mkeo ulilazimishwa kumuoa au uliamua mwenyewe?

Kama uliamua mwenyewe inakuwaje baada ya miezi sita penzi liyeyuke? Ukijibu itakuwa rahisi kukupa ushauri!
 
Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa kinachonitesa hujikuta nahonga karibu kila baada ya siku mbili ili kupewa penzi nje angali tena mke naye ana matumizi ya ndani kitu kinachoelekea uchumi wangu kuwa wa mashaka. Ndoa niliyofunga hairuhusu talaka. Najiuliza nifanyeje?

sijawahi mfumania, ana kipato ingawa sio kikubwa tatizo imetokea tu sina hamu naye miezi kama sita baada ya kumuowa hamu ikawa haipo ikanibidi nianze kuwa na mahawara ambao nao ni garama sana hata vibinti navyo ni garama , sasa nikipata hawara naenda nae gemu fresh na nina kuwa na mzuka nashangaa .

Jamani nifanyeje naishi na mtu ambaye sina hamu ya kusex naye?

Siku ukijua kwamba kuna watu wanamuzengea utampenda tu. Wewe kula vya watu unaona raha? Au ni wale wa kununua haraka haraka bila risiti
 
Michepuko sio dili, Epuka UKIMWI. Baki njia kuu..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
na wewe una spirit of lust acha hyo tabia mara moja ulivooa ulikimbizwa ngoma inakunyemelea wewe badilika unaenda kutoka na vinuka mk...jo una mwacha mkeo huna haya wewe na hlo pepo lako chafu nakwambia ucipobadilika wewe na there more unavotoka na wanawake weng ndo tatizo lina zidi badilika mwishowe ufe watoto wakose malezi kama kwa siku mbili una honga shame on you
 
Jiulize wapi ulipoteleza unaweza kaa sawa
 
Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa kinachonitesa hujikuta nahonga karibu kila baada ya siku mbili ili kupewa penzi nje angali tena mke naye ana matumizi ya ndani kitu kinachoelekea uchumi wangu kuwa wa mashaka. Ndoa niliyofunga hairuhusu talaka. Najiuliza nifanyeje?

sijawahi mfumania, ana kipato ingawa sio kikubwa tatizo imetokea tu sina hamu naye miezi kama sita baada ya kumuowa hamu ikawa haipo ikanibidi nianze kuwa na mahawara ambao nao ni garama sana hata vibinti navyo ni garama , sasa nikipata hawara naenda nae gemu fresh na nina kuwa na mzuka nashangaa .

Jamani nifanyeje naishi na mtu ambaye sina hamu ya kusex naye?

subiri tukugongee utajua maana ya kuchapiwa ni siri ya ndani,we si huna hamu nae,wenzio wana kiu nae.
 
Hizi ndoa hizi? Hata hausikitiki kukosa hamu nae, upo kimaslahi zaidi. Inakuuma because you spend on your wife?

What the hell is this world coming to?

You are the problem, jirekebishe. Ulishazoea uzinzi utamtesa tu mtoto wa watu.
 
Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa kinachonitesa hujikuta nahonga karibu kila baada ya siku mbili ili kupewa penzi nje angali tena mke naye ana matumizi ya ndani kitu kinachoelekea uchumi wangu kuwa wa mashaka. Ndoa niliyofunga hairuhusu talaka. Najiuliza nifanyeje?

sijawahi mfumania, ana kipato ingawa sio kikubwa tatizo imetokea tu sina hamu naye miezi kama sita baada ya kumuowa hamu ikawa haipo ikanibidi nianze kuwa na mahawara ambao nao ni garama sana hata vibinti navyo ni garama , sasa nikipata hawara naenda nae gemu fresh na nina kuwa na mzuka nashangaa .

Jamani nifanyeje naishi na mtu ambaye sina hamu ya kusex naye?

Na kwa nini una mahawara na sio hawara. Thats means haujatulia wewe mwenyewe
 
badili mazingira
siku mtoe out muende hotel na sehemu ya mbali pia waweza kubadili mazingira ya chumba mkao wa kitanda na nk
jaribu kumwambia ajiweke sop sop kabla hujarudi job avae kisichana
inaweza kusaidia
 
Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa kinachonitesa hujikuta nahonga karibu kila baada ya siku mbili ili kupewa penzi nje angali tena mke naye ana matumizi ya ndani kitu kinachoelekea uchumi wangu kuwa wa mashaka. Ndoa niliyofunga hairuhusu talaka. Najiuliza nifanyeje?

sijawahi mfumania, ana kipato ingawa sio kikubwa tatizo imetokea tu sina hamu naye miezi kama sita baada ya kumuowa hamu ikawa haipo ikanibidi nianze kuwa na mahawara ambao nao ni garama sana hata vibinti navyo ni garama , sasa nikipata hawara naenda nae gemu fresh na nina kuwa na mzuka nashangaa .

Jamani nifanyeje naishi na mtu ambaye sina hamu ya kusex naye?

This is totally psychological.Something happened that turned you off. Maybe you just havent figured out what. Angalia what attracted you to her at first. Maybe, it was her body and now her body is not the same, and you find her less attractive. Or maybe free sex turns you off. Things dont just hapen, there are always triggered with something.
Only you can fix this.
Goodluck
 
Shetani kakutawala ndugu!!! Angalia na magonjwa pia. We ulimpenda kweli mkeo au ulimtamani?? Pole sana kaeni chini mzungumze umwambie unavyo jisikia juu yake abadilike nini hao watu wa nje ndo wanakufanya uzidi kumwona mke wako si lolote..
 
Back
Top Bottom