Sina hamu ya kupenda...

Sina hamu ya kupenda...

prettydiva

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
101
Reaction score
39
Nilikupenda sana Emmanuel lakini katu hukuthamini penzi langu,ulipoumwa nilikubembeleza kwa maneno matamu uone jinsi gani nakujali na kukutakia uzima,ulipokasirishwa kazini bado nlikutia moyo,maumivu yako pia niliyabeba ili kukupnguzia uzito lakini wewe hukuthamini penzi langu katu..mapenzi yako kwangu yalishuka kila siku hupigi simu hadi nipige,tunaishi Dsm hii wote lakini inapita hata miezi 3-4 hatuonani hadi nibembeleze sana,kila nilichokuomba ulidai huna ilihali ulkuwa navyo.

Miaka yako 32 ilinifanya mwanzoni nkuone nmepata kuwa utawaza familia kumbe umri so tabia...machozi yangu hukuyajali wala kunithamini,nilikupenda sana emmanuel mwezi uliopita nilikutamkia tuachane nikajua ni gia ya kukubadilisha ndo kwanza ukasema nenda ili uendelee na wanawake wengine..(wanaume wapendeni wanawake wanaoonyesha kuwapenda kwa moyo kwani mtakuja kujuta baadaye)hyu niliyempenda hakunithamini ipo siku atanikumbuka..
 
Pole mwaya.. naimani ipo cku utampata akupendaye kwa dhati. Mapenzi ndivyo yalivyo ni kama kutia mkono kizani.
 
Labda yametokea hayo kwako ili tuwe pamoja, hebu njoo PM tujadiliane vizuri!
 
Pole mwaya. Ndo unakomaa sasa, achana nae anakuwekea kiwingu huyo. Tulia, kuna siku hamu ya kupenda itakuja automatikale
 
hata mimi nimetendwa kama wewe..nina uchungu na maumiv makal sana..wanasema ndege wawil wanaofanana huruka pamoja...
 
Pole dada ndo wanaume wetu hao,,,,,,, mwanaume haliliwi wewe jipange upya.
 
Pole sana best.
Simama anza safar mpya usiumie kwa ajili yake pengine sio chaguo LA Mungu kwako
 
Nilikupenda sana emmanuel lakini katu hukuthamini penzi langu,ulipoumwa nilikubembeleza kwa maneno matamu uone jinsi gani nakujali na kukutakia uzima,ulipokasirishwa kazini bado nlikutia moyo,maumivu yako pia niliyabeba ili kukupnguzia uzito lakini wewe hukuthamini penzi langu katu..mapenzi yako kwangu yalishuka kila siku hupigi simu hadi nipige,tunaishi dsm hii wote lakini inapita hata miez 3-4 hatuonani hadi nibembeleze sana,kila nilichokuomba ulidai huna ilihali ulkuwa navyo.miaka yako 32 ilinifanya mwanzoni nkuone nmepata kuwa utawaza familia kumbe umri co tabia...machozi yangu hukuyajali wala kunithamini,nilikupenda sana emmanuel mwezi uliopita nilikutamkia tuachane nikajua ni gia ya kukubadilisha ndo kwanza ukasema nenda ili uendelee na wanawake wengine..(wanaume wapendeni wanawake wanaoonyesha kuwapenda kwa moyo kwani mtakuja kujuta baadaye)hyu niliyempenda hakunithamini ipo siku atanikumbuka..

Pole sn nahitaji kukutana nawe,umenishitua,nahuzunisha naulichoandika
 
Nilikupenda sana
emmanuel lakini katu hukuthamini penzi langu,ulipoumwa nilikubembeleza
kwa maneno matamu uone jinsi gani nakujali na kukutakia
uzima,ulipokasirishwa kazini bado nlikutia moyo,maumivu yako pia
niliyabeba ili kukupnguzia uzito lakini wewe hukuthamini penzi langu
katu..mapenzi yako kwangu yalishuka kila siku hupigi simu hadi
nipige,tunaishi dsm hii wote lakini inapita hata miez 3-4 hatuonani hadi
nibembeleze sana,kila nilichokuomba ulidai huna ilihali ulkuwa
navyo.miaka yako 32 ilinifanya mwanzoni nkuone nmepata kuwa utawaza
familia kumbe umri co tabia...machozi yangu hukuyajali wala
kunithamini,nilikupenda sana emmanuel mwezi uliopita nilikutamkia
tuachane nikajua ni gia ya kukubadilisha ndo kwanza ukasema nenda ili
uendelee na wanawake wengine..(wanaume wapendeni wanawake wanaoonyesha
kuwapenda kwa moyo kwani mtakuja kujuta baadaye)hyu niliyempenda
hakunithamini ipo siku atanikumbuka..

Pole dada, Amini huo sio mwisho wa mapenzi, Utapa atakaye kupenda na utasahau yote.
 
amini hakuwa wako huyo mwache aende anza upya utampata atakaeona thamani ya upendo wako
 
Pole mwaya. Ndo unakomaa sasa, achana nae anakuwekea kiwingu huyo. Tulia, kuna siku hamu ya kupenda itakuja automatikale

Kwi kwi kwiiiii.....embu atupiemo kapicha ka Emma ili tucompee na tuone best way ya kumfariji katika kipindi hiki cha mpito kabla hajapata mwekezaji mwingine!
 
Pole mwaya. Hakuwa anakupenda kama ulivyompenda na huna sababu ya kumlaumu. Hata hivyo mlivumiliana sana. Kuwa na mtu unayempenda, yeye hakupendi na kuwa na mtu uliyeishiwa mahaba nae wakati yake bado motomoto si kazi ndogo. Endelea na maisha yako, waza ya kwako. Hayo mambo ya atakukumbuka ni kujipa moyo na kuendelea kumbeba mawazoni mwako. Wakati unasubiri yeye akukumbuke yeye anaendelea kufurahia maisha. Anaweza asikukumbuke, ohoooo.
 
Back
Top Bottom