Sina hamu ya kuolewa

Hajapata wa kumuoa

Umemaliza kila kitu. Hii imekuwa kawaida akina dada kusema hawana haja ya kuolewa na wanaweza kuishi kivyao. La ajabu akijitokeza wa kuwaoa wanakuwa kama wamechanganyikiwa. Na wakati mwingine wako tayari kufanya fast track ya ndoa. Kwahiyo naweza sema hiyo ni kuzuga ili mbele ya wenzao wasionekane wamekosa wenza. Mbona watu wengi wako kwenye ndoa na wako vizuri tu! Na kwanini mtu ujitabirie kuwa kwenye kundi la walioshindwa na siyo wale walioweza?
 
Una shida kweli. Unatazama ndoa za public?
 
kwa hiyo ndoa zooote ameona ujifunze kwa ya kina gadna na the mbashaz tu??
 
Usijali kabisa mbegu zetu huwa haziuzwi utapatiwa bure kabisa
 
Una 30years hakuna hata bwana alie kununulia japo hen kerchief kwa nini usikate tamaa ya kuolewa? hizo sample mbili tu ndo una generalise mambo?
 

Wewe una mtazamo gani??
 
kwa hiyo ndoa zooote ameona ujifunze kwa ya kina gadna na the mbashaz tu??
Hapana ila kwa mtizamo wake alikuwa anazipenda sana,na zingine za wanaomzunguka ndio zinamchanganya kabisa
 
jua limekuchwea unaleta hadithi ya sungura ila hakuna limit unaweza kuolewa hata ukiwa na 50 ila mpaka umpate ipo shughuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…