RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,444
- 2,032
Naomba moyo wa uvumilivu kwa hilo, japo umri nao unasogea! Funny enough nipo na binti mmoja,watu wanasema mbona huyo ni wife material unasubiri mini kutangaza na kuchukua form kabisa!! Lol nipo njia panda!!
Yes, inawezekana ni wife material. Ila from my experience, hao 'wife materials' mara nyingi mtaishia kusumbuana, unless uwe na uhakika kuwa unakiwanda cha kumturn into 'wife product'. Kumbuka kuna materials nyingine ni sub standard so hazitengenezi final products nzuri.