MtuFulani8
Member
- Jun 27, 2015
- 92
- 21
Rejea kichwa cha habari hapo juu!!
Mimi nimekosa hamu ya kuishi na mwanamke kwa muda mrefu sasa!
Japo sijaoa lakini nimebaini kwamba hili ni tatizo na linahitaji ufumbuzi maana hakuna namna muda ukifika itanibidi kuishi na mwanamke!
Hivyo naomba ushauri jinsi ya kulitatua tatizo hili!
Thanx in advance!