MtuFulani8
Member
- Jun 27, 2015
- 92
- 21
- Thread starter
- #21
uta adopt jamaa yangu km uko dar tembelea kino ukaopoe kakapoa
Dah! Cwez adopt ktk umri huu! Nadhani stage hiyo nimepita salama! Labda wanawake wakiacha kuzaliwa!
uta adopt jamaa yangu km uko dar tembelea kino ukaopoe kakapoa
Love Connect utapoteza mda tu, watu hawako serious. Bora kwenda sokoni ukasema: "Anaetaka nimuoe anyooshe mkono", inaweza saidiaiende Love Connect
Of course mpaka ss bado ni kijana! Suala la kuoverdo cna uhakika! Lkn nikijicompare ni company ya rafiki zangu naona nimedo kawaida tu! Sema inatokea nikishado na binti naona cna haja naye kwa muda mrefu,hivyo cwezi kucommit future na huyo mtu coz nahisi nitakosa peace of mind!!
Love Connect utapoteza mda tu, watu hawako serious. Bora kwenda sokoni ukasema: "Anaetaka nimuoe anyooshe mkono", inaweza saidia
The way I see it, it was just physical for you. You haven't really fallen in love.
Maybe this is the time to go easy on sex and focus on a lifetime partner.
Rejea kichwa cha habari hapo juu!! Mm nimekosa hamu ya kuishi na mwanamke kwa muda mrefu sasa! Japo cjaoa lkn nimebaini kwamba hili ni tatizo na linahitaji ufumbuzi maana hakuna namna muda ukifika itanibidi kuishi na mwanamke! Hivyo naomba ushauri jinsi ya kulitatua tatizo hili!! Thanx in advance!!
Ukihama ccm utapata ham ila ukibak huko utakosa vtu vitam
Toa kwanza sababu inayokufanya ushindwe kuishi nao ndio utaweza kushauriwa. Tatizo limeanza lini? Ulishaishi na wangapi ukashindwa?
Sijui kwanini wanandoa wakiwa ccm ndoa haidumu,mfano lemutuz,Wema n.k
Gundu Mkuu
Kwanza nahisi wanawake niliowahi kuwa/nilionao hawanifai kwa vigezo! Pia na nahisi hawastahili kukabidhiwa maisha yangu kwa muda wote! Tatizo hili lilianza kama miaka mitatu iliyopita, has a nilipohisi natakiwa kuwa na MTU wa kufanya maisha naye!!
Pole sana,hilo ni tatizo la kisaikolojia na labda ulitendwa,tafuta psychologist au nenda kwenye maombi seriously.
Yawezekana unataka mwanamke ambaye upo nae awe na kila kigezo unachokihitaji kitu ambacho hakiwezekani
Katika machaguzi yako angalie yale mambo unayoyataka kutoka kwa mwanamke na ni ya muhimu kuliko mengine but ukianza kumchambua sana unajikuta hakidhi vigezo vyako
Rejea kichwa cha habari hapo juu!! Mm nimekosa hamu ya kuishi na mwanamke kwa muda mrefu sasa! Japo cjaoa lkn nimebaini kwamba hili ni tatizo na linahitaji ufumbuzi maana hakuna namna muda ukifika itanibidi kuishi na mwanamke! Hivyo naomba ushauri jinsi ya kulitatua tatizo hili!! Thanx in advance!!
Hamu ya kula tunda ipo! Sema nikishakula tunda ndo basi tena
Nahisi umeweka sana mbele 'sex' kuliko 'love'..
Na umeku 'ukitamani' mwanamke ili ufanye nae sex,. Hali hii inakufanya kuridhika mara tu baada ya tendo.
Kifupi hujatokea kufall in love kwaio endelea tu ila siku ukipata ile roho inapenda utazama kimyakimya na utaleta mrejesho.
Alamsiki
Tafuta mwanamke mnaerandana. Utashangaa ukishakula tunda sio basi tena.
Huyo huwa hatafutwi, anapatwa. Sasa tengeneza mazingira ya kumpata. utashangaa wala hutatumia efforts kubwa, maana atakuelewa hata kabla hujasema neno.Issue ni kumpata Huyo ninayerandana naye! Coz wengi ninaowapata tunapishana kimitazamo!
Huyo huwa hatafutwi, anapatwa. Sasa tengeneza mazingira ya kumpata. utashangaa wala hutatumia efforts kubwa, maana atakuelewa hata kabla hujasema neno.